PostGE2025 Tujihoji: Kama watanzamia mil 32+ walimchagua mbona anachukiwa kwa kiasi kikubwa na Wananachi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sawa sasa kwanini mlimuapishia kambini si angeapishia morogoro au katavi huko walipompan kura zote.
we ndio mjinga kabisa ilimradi tu uoneshe chuki, basi hata jana uzinduzi ungeenda kufanyiwa iringa au sio?
 
Sio chuki its about reality mimi simchukii samia sababu ya urais wake ila sisi waungwa huwa tunakereketwa na watu wanaotaka kutuaminisha jumlisha ni toa.

Binafsi siwezi kamwe kumchukia mtu ambaye amepambana kwa halali kabisa kufika alipofika ila kuna raha sana mtu muugwana na mkweli akiwa kiongozi wako.
 
noted
 
kwahiyo akitokea mtu akisema hakuna mtu aliyepiga kura unamuweka kundi gani?

hapo ni pwani na ni vijijini je ukijumlisha nchi nzima?

nikubali au nikatae kuwa samia amekataliwa na watanzania kwahiyo hao wazee wa pwani ni walimpigia salum mwalimu?

chadema mlisusia lkn ccm walihamasisha watu wao wakapiga kura sasa hapo huelewi nn kuwa chadema na wapo ambao hawakupiga kura wewe ulitakaje?

kwani magu alipata kura asilimia 100 wakati wake kwann unashindwa kuelewa kuwa waliompigia lowasa walimkataa magufuli hilo nalo unataka mpaka ulipe ada ukafundishwe shule?
Ninayo ushahidi kwa walimu waliosimamia uchaguzi Toka mikoa ya peano, iringa na dar. Huko iringa kituo kimoja walijiwndikisha watu 60 waliopiga kura ni 60 tu. Na walimu walifungowa ndani Ili kutiki. Pwano specifically kisiwani. Watanzania sio wajinga kama ni utafiti Kila mtu ameshwahi kufanya
 
60 wamejiandikisha halafu 60 wakapiga kura? hakuna waliokuwa na dharura? mawakala wa vyama vingine walikuwa wapi kuhakiki kura za wagombea wao mpaka walimu wafungiwe ndani kutiki?

kenya maskini sana mpaka wanatia huruma, ukitafuta sawa na nani sijui nn utahangaika, kenya maisha mabovu sana sana tanzania tupo vizuri
Hivi umaskini unapimwa na vitu gani?, thamani ya pesa ya Kenya ni sawa na ya Tz?, level ya elimu ya watu wa Kenya ni sawa na ya Tz?, uchumi jumuishi wa kenya ni sawa na Tanzania?.
 
60 wamejiandikisha halafu 60 wakapiga kura? hakuna waliokuwa na dharura? mawakala wa vyama vingine walikuwa wapi kuhakiki kura za wagombea wao mpaka walimu wafungiwe ndani kutiki?
Punguza utahira .... KWENYE zoezi la kuhesabu kura Kuna mawakala wa vyama vingine huwa wanaruhusiwa kukaa chimba Cha Kura?. Nimeshiriki kuwa shm ya haya yanayosemwa Yako wazi .... Wasimamizi hupiga Kura za wizi.
 
wewe ndio mjinga kumbe unaongea uongo hapa kwa faida ya nani? wakala anatakiwa kukaa chumba cha kura hadi mwisho hadi kwenye hesabu anatakiwa ashuhudie kura za mtu wake mwisho kuna fomu wanasaini ya matokeo na kopi anapeway.
 
We ndio mjinga kabisa yani unabishana na ukweli.Hayo mambo ya kuchezea sanduku la kura waalimu na maaskari wanayafanya sana ila itafika siku watachoka tu.
 
wewe ndio mjinga kumbe unaongea uongo hapa kwa faida ya nani? wakala anatakiwa kukaa chumba cha kura hadi mwisho hadi kwenye hesabu anatakiwa ashuhudie kura za mtu wake mwisho kuna fomu wanasaini ya matokeo na kopi anapeway.
Wewe ni mpumbavu!!!.
 
60 wamejiandikisha halafu 60 wakapiga kura? hakuna waliokuwa na dharura? mawakala wa vyama vingine walikuwa wapi kuhakiki kura za wagombea wao mpaka walimu wafungiwe ndani kutiki?
Ulishawahi kushiriki kwenye kusimamia au kushuhudia uchaguzi wowote unaoishirikisha ccm? Unajua kinachofanyika kwenye vile vituo?
Hujawahi kuona kura fake zikisokomezwa.kwenye masanduku?
Hao mawakala unajua wanavuopatikana?
Upo mbali sana na ukweli wewe
Kwa taarifa Yako hata hao walimu wanachaguliwa au kuteuliwa baada ya kujiridhisha kwamba ni makada wa chama lia lia. Kazi hii huganywa na TISS (DSO).; DC na DED. Siyo Kila mtumoshi husimamia uchaguzi.
Kama hujafanya kazi HW utabisha na hili pia
 
hivi kwa akili yako wakala asiwepo nani atahakiki kura za mgombea wake?

hao mawakala ndio waliosaidia chadema, cuf na tlp kupata kura za madiwani na wabunge miaka 2010, 2015,

wasimamizi wanavyopatikana wanaomba halafu wanachaguliwa kwa sifa maana katika usimamizi wanajivua uanachama
 
Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.

Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea

Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.

Afanyeje ili mambo yapoe?
Kushinðwa japoʻ kuyatammbua maùaǰi yaa kimbarii ya siku nne kuanzia oct.2⁹ na kuenðlea amejifutia kiĺa jema na amekumbatia maovu yotmbayo allikuwa anawèza kuyazuia,ila akaamù kuwaruhusu wàovu waliotekeleza mauaji kujilipa kamà malipo ya kazi wàliyoifanya kwa ajili yaķe na genge lake kwa ghàama ya waliouliwa wakidai mabadiliko ya mwen̈ndo mbaya kwen̈ye kila jambo lenye umuhiimu kwa màisha ya kìla siku ya mtanzania wa kawaida.Hivyo kin̈achotokea ni Mwanakulitafuta Mwanakuliipata.Amelikoroga basi Naalinywe🤔
 
hivi kwa akili yako wakala asiwepo nani atahakiki kura za mgombea wake?

hao mawakala ndio waliosaidia chadema, cuf na tlp kupata kura za madiwani na wabunge miaka 2010, 2015,

wasimamizi wanavyopatikana wanaomba halafu wanachaguliwa kwa sifa maana katika usimamizi wanajivua uanachama
Hujui chochote wewe. Kawailize mawakala wa uchaguzi wa 2015, 20, na 25 kama hicho unachokisema wewe ndicho kilichofanyika?
Unaondea umebinua matako hapo posta wakati mie nakupa evidence kutoka kwenyi field vijijini huko
 
nimemshangaa sana mtu hana tafiti wala namba anaadika tu kisa kamsikiliza mange na recho, is it?
Wenye visogo flat screen mnajuana, kifupi hatuwataki, kashadadieni kwenyu, ya huku mtuachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom