au twambie kenya kwenye katiba nzuri hakuna maskini hoehae?Nenda kafirwe acha kusumbua watu.
Kwahiyo Kenya unalinganisha na Tz?. Unalinganisha uchumi wa mtu mmoja mmoja Kati ya Kenya na Tz ni sawa?. Wewe ni chawa namba Yako ni ngapi?.au twambie kenya kwenye katiba nzuri hakuna maskini hoehae?
Catombwe sema ni kipenzi cha machoko km wewe.nonsense,
ikiwa unachuki nae binafsi huna haja ya kusingizia mamilioni ya waTanzania chuki binafsi zako.
Nadhani itapendeza zaidi,
kususia uchaguzi kuna madhara makubwa zaidi kwa msusaji akilini na moyoni, ikiwa ni pamoja na chuki binafsi.
Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania wote, Africa na duniani kote and no body can disband that light truth 🐒
kenya maskini sana mpaka wanatia huruma, ukitafuta sawa na nani sijui nn utahangaika, kenya maisha mabovu sana sana tanzania tupo vizuriKwahiyo Kenya unalinganisha na Tz?. Unalinganisha uchumi wa mtu mmoja mmoja Kati ya Kenya na Tz ni sawa?. Wewe ni chawa namba Yako ni ngapi?.
Which political Party do I belong to?Kipenzi cha wengi anaishije kama digidigi? Mzee wa gentleman please watch your steps, you may find that you belong nowhere. Ref Uchawa kwa NchimbiKipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan ana wajibu wa kizalendo wa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM,
The national leader is not there because she wanted to be Loved or liked, to seek popularity or respect, but Dr Samia Suluhu Hassan is there as the president to save the good citizens of Tanzania, and not that nonsense you are thinking about.
Go and tell your party members, friends and relatives about this light truth 🐒
At least wao wanaweza kwenda mahakamani nawakadikilizwakenya wanalalamika huko msikilize gachagua
maduhu alienda Mahakama gani akapata haki ya kwenda kumuona lissu? wewe vip?At least wao wanaweza kwenda mahakamani nawakadikilizwa
kuishi kama digidigi unamaanisha nn? kuna sehemu rais hajafanya kazi yake? russia ulienda wewe? hakwenda arusha? mmepigwa vibaya sanaWhich political Party do I belong? Kipenzi cha wengi anaishije kama digidigi? Mzee wa gentleman please watch your steps, you may find that you belong nowhere. Ref Uchawa kwa Nchimbi
Naunga mkono hoja anapendwa sana Tena sanaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan ana wajibu wa kizalendo wa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM,
The national leader is not there because she wanted to be Loved or liked, to seek popularity or respect, but Dr Samia Suluhu Hassan is there as the president to save the good citizens of Tanzania, and not that nonsense you are thinking about.
Go and tell your party members, friends and relatives about this light truth 🐒
Huna akili alafu unazungumzia mambo ambayo huyajui. Ukiacha uchumi unaweza langanisha elimu ya Kenya na Huko Tz?kenya maskini sana mpaka wanatia huruma, ukitafuta sawa na nani sijui nn utahangaika, kenya maisha mabovu sana sana tanzania tupo vizuri
Usijizime data hata naipenda Tanzania yangu,polisi kwasasa wana sauti kuliko mahakama ndo maana majaji wanalalamikamaduhu alienda Mahakama gani akapata haki ya kwenda kumuona lissu? wewe vip?
Kiuchumi wako juu, tunachowazidi ni unafiki tuHuna akili alafu unazungumzia mambo ambayo huyajui. Ukiacha uchumi unaweza langanisha elimu ya Kenya na Huko Tz?
mbona nikikwambia kenya kuna maskini hoehae unakwepa? hao kenya wametupita nn weka namba kama unataka, ghafla unakimbilia elimu, usiwe mtumwa wewe mjinga mkubwa sana.Huna akili alafu unazungumzia mambo ambayo huyajui. Ukiacha uchumi unaweza langanisha elimu ya Kenya na Huko Tz?
Rais halali inatakiwa asemewe alienda wapi na wapi. Kifupi kuna chawa tu hapo. Vyeti vyake tu ni moja na mbili alafu mnamuita Dkt 😂😂😂kuishi kama digidigi unamaanisha nn? kuna sehemu rais hajafanya kazi yake? russia ulienda wewe? hakwenda arusha? mmepigwa vibaya sana
Mbali na walimu, kwani hivo vituo vilikuwa mbinguni? Si vilikuwa majumbani mwetu, wote tumeona?Walimu wamesema kweli. Wananchi hawajakujitokeza kupiga kura.
We kwl ni mbwa koko, watanzania wanampenda Rais wao km unamchukia ni ww ngedereHali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.
Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea
Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.
Afanyeje ili mambo yapoe?