waambie wapambane waimarishe biashara zao, waambie chuki zao hazitawasaidia, waulize wakati wa mkapa walikuwa na magari kwa kuuza kahawa na mkaa?Unamlilia nani? Kama mil 32+ mlimchagua mbona hadi wauza mkaa na wauza kahawa wanamchukia

kenya wanalalamika huko msikilize gachaguaKatika nchi zetu za kiafrika kutoa Nchi chache kama south na Kenya, tume ya uchaguzi ndo hutupatia viongozi, so hata kama watanzania wengi hawakupiga kura na hilo lipo wazi LAKINI MSEMAJI WA MWISHO WA UCHAGUZI NI TUME, imethibtisha Kwa hesabu zake mh rais alipata 97.... asilimia za kura. Mimi ni nani nikatae
Endeleeni kushupaza shingo na kukazana kukwepa kivuli chenu.fanya tafiti uje na namba
usimtegemee recho dangwa
kwani mnaowaita machawa na wao wanamchukia?
umesahau kikwete aliambiwa na chadema nchi isingetawalika ikawa migomo na maandamano kila siku ulikuja hapa kusema rais anachukiwa?
chadema walimkataa kikwete awamu ya pili umesahau?
chadema walimkataa magu awamu zote 2 mpaka bungeni walitoka kumsusia umesahau?
kwa akili yako unataka chadema wampende rais wa chama cha ccm ili waitwe chama cha kwenye flash?
mtapiga kelele lkn nchi inasonga susieni na uchaguzi wa 2030 mje mlalamike hapa
we huna makalio? muulize huyo muuza mkaa wakati wa mkapa na nyerere alikuwa na ghorofa na magari ili waseme wakati huu wanamchukia samia? au bendera fata upepoWe shupaza makalio tu.
Huwezi kujenga hoja bila kuitaja CHADEMA?fanya tafiti uje na namba
usimtegemee recho dangwa
kwani mnaowaita machawa na wao wanamchukia?
umesahau kikwete aliambiwa na chadema nchi isingetawalika ikawa migomo na maandamano kila siku ulikuja hapa kusema rais anachukiwa?
chadema walimkataa kikwete awamu ya pili umesahau?
chadema walimkataa magu awamu zote 2 mpaka bungeni walitoka kumsusia umesahau?
kwa akili yako unataka chadema wampende rais wa chama cha ccm ili waitwe chama cha kwenye flash?
mtapiga kelele lkn nchi inasonga susieni na uchaguzi wa 2030 mje mlalamike hapa
Ukipata kujua magaidi wa Kibiti waliwezaje kujikusanya, kutoa mafunzo ya kijeshi, kutengeneza siraha za kivita za jadi hutauliza maswali mepesi kama haya.Serikali yetu Haramu ya CCM imewahi kuibua hoja na nadharia mbalimbali kuwa Waandamanaji walilipwa au walitoka nje ya nchi, hebu tujiulize maswali kadhaa
1. Waliwezaje kupitia katika mipaka ya nchi bila hata vyombo vya Ulinzi wa mipaka yetu kugundua ilhali vyombo hivyo vinaweza kugundua wanaharakati wanaweza kuingia nchini na wahamiaji haramu?
2. JE, Kwa Hali hiyo upo ni Usalama wa mipaka yetu ya Tanzania na je Rais kama amiri jeshi mkuu mbona hajachukua tahadhari ya kuimarisha mipaka yetu kama kujenga uzio na kuweka teknolojia za mipakani kugundua movement za Wahalifu
3. JE, Vijana hao ambao baadhi walisema waliwakamata na kujua sio watanzania Wana Uraia wa Nchi gani?
4. Mbona hakuna Nchi iliyokubali au hata kutangaza Vijana Toka nchi yake kuhusika na kile kinachoitwa Waandamanaji walilipwa?
5. JE, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kugundua kuwa Kuna kundi kubwa la Vijana limeingizwa nchini kuleta machafuko ilhali Wana uwezo wa kufuatilia mitandao ya kijamii na kuteka raia na message na calls za simu
6. JE Vijana hao walitumia njia gani kusambaa kwenda katika mikoa iliyopo mbali na mipaka Kama vile Dar es Salaam bila kugundulika?
7. Mbona Tume ya Raia ya Jaji Chande inapingana na hoja alizowahi kuzitoa Rais ambaye ni mkuu wa nchi?
8.kwanini Waandamanaji waliolipwa wasiseme hoja za kichama, au kidini lakini walisema hoja zenye MANTIKI KWA TAIFA ? JE, hii kweli ni asili ya tabia za Waandamanaji wakulipwa?
9. JE mtu gani au mwanaharakati gani mwenye uwezo wa kulipa na kuendesha operations kubwa kiasi hicho bila kugundulika yenye malengo ya kupindua serikali isipokuwa serikali yenyewe?
hutaki chadema itajwe? kwani msigwa na heche wanaweza kujenga hoja bila kuitaja ccm?Huwezi kujenga hoja bila kuitaja CHADEMA?
unahangaika, vyombo vipo kazini leteni mazoea navyo.Serikali yetu Haramu ya CCM imewahi kuibua hoja na nadharia mbalimbali kuwa Waandamanaji walilipwa au walitoka nje ya nchi, hebu tujiulize maswali kadhaa
1. Waliwezaje kupitia katika mipaka ya nchi bila hata vyombo vya Ulinzi wa mipaka yetu kugundua ilhali vyombo hivyo vinaweza kugundua wanaharakati wanaweza kuingia nchini na wahamiaji haramu?
2. JE, Kwa Hali hiyo upo ni Usalama wa mipaka yetu ya Tanzania na je Rais kama amiri jeshi mkuu mbona hajachukua tahadhari ya kuimarisha mipaka yetu kama kujenga uzio na kuweka teknolojia za mipakani kugundua movement za Wahalifu
3. JE, Vijana hao ambao baadhi walisema waliwakamata na kujua sio watanzania Wana Uraia wa Nchi gani?
4. Mbona hakuna Nchi iliyokubali au hata kutangaza Vijana Toka nchi yake kuhusika na kile kinachoitwa Waandamanaji walilipwa?
5. JE, Usalama wa Taifa ulikuwa wapi kugundua kuwa Kuna kundi kubwa la Vijana limeingizwa nchini kuleta machafuko ilhali Wana uwezo wa kufuatilia mitandao ya kijamii na kuteka raia na message na calls za simu
6. JE Vijana hao walitumia njia gani kusambaa kwenda katika mikoa iliyopo mbali na mipaka Kama vile Dar es Salaam bila kugundulika?
7. Mbona Tume ya Raia ya Jaji Chande inapingana na hoja alizowahi kuzitoa Rais ambaye ni mkuu wa nchi?
8.kwanini Waandamanaji waliolipwa wasiseme hoja za kichama, au kidini lakini walisema hoja zenye MANTIKI KWA TAIFA ? JE, hii kweli ni asili ya tabia za Waandamanaji wakulipwa?
9. JE mtu gani au mwanaharakati gani mwenye uwezo wa kulipa na kuendesha operations kubwa kiasi hicho bila kugundulika yenye malengo ya kupindua serikali isipokuwa serikali yenyewe?
mliambiwa msipige kura wenzenu wakaambiana wapige kura, icc wako wapi kama mliuliwa pasina haki?Wakati wanaua watu mitaani 29,30,31
Akili zao zilikua ni kuchapa tiki kumjazia bi kidude mikura feki kwenye zoezi lililokua na watu kidogo kuwahi kutokea.
Wakasahau matukio yale matokeo yake ni miaka 5 nyuma na wanachokifanya kumfurahisha pia kina matokeo mengi hasi miaka 5 mbele.
Sasa wanajionea kinyesi kilichopakwa icing sugar tukadanganywa ni keki sasa imeyeyuka watu wakagundua ni uchafu ndio walipanga kulishwa.
View attachment 3702088
View attachment 3702093
Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.
Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea
Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.
Afanyeje ili mambo yapoe?
maana malalamiko yameanza tangu mwaka 95Hivi ni kiongozi gani Tanzania aliwahi kuchaguliwa kihalali chini ya Tume huru hapa Tz , Kuanzia Nyerere , , Mwinyi, Mkapa, Kikwete , Magufuli ???
mliambiwa msipige kura wenzenu wakaambiana wapige kura, icc wako wapi kama mliuliwa pasina haki?