4(polepole, mdude, twaha na soka)Tuliambiwa na nani tusipige kura ?
Mimi nawafahamu ICC, hao icc ni NEC yenu CCM au ni mapacha wa ile tume ya Mwambegele?
Wewe uliua watu wangapi tukupongeze hapa.
4(polepole, mdude, twaha na soka)Tuliambiwa na nani tusipige kura ?
Mimi nawafahamu ICC, hao icc ni NEC yenu CCM au ni mapacha wa ile tume ya Mwambegele?
Wewe uliua watu wangapi tukupongeze hapa.
Ni kweli mtandaoni wanaochat ni robot sio watuWatakuambia anachukiwa mtandaoni mtaani watanzania wanamkubali
Ndivyo unavyoona wewe au ulivyohadithiwa wewe . Malalamiko yalianza tokea Nyerere alipopiga marufuku vyama vingimaana malalamiko yameanza tangu mwaka 95
4(polepole, mdude, twaha na soka)
Muktadha wa hoja kuiingiza CHADEMA kwenye mjadala ni ugiligili usio na sababu.hutaki chadema itajwe? kwani msigwa na heche wanaweza kujenga hoja bila kuitaja ccm?
maana malalamiko yameanza tangu mwaka 95
fanya tafiti uje na namba
usimtegemee recho dangwa
kwani mnaowaita machawa na wao wanamchukia?
umesahau kikwete aliambiwa na chadema nchi isingetawalika ikawa migomo na maandamano kila siku ulikuja hapa kusema rais anachukiwa?
chadema walimkataa kikwete awamu ya pili umesahau?
chadema walimkataa magu awamu zote 2 mpaka bungeni walitoka kumsusia umesahau?
kwa akili yako unataka chadema wampende rais wa chama cha ccm ili waitwe chama cha kwenye flash?
mtapiga kelele lkn nchi inasonga susieni na uchaguzi wa 2030 mje mlalamike hapa
Hatutasahau, wala hatumpendi. Hakuwahi kupendwa na hata watu laki moja. Ebu niambie, huyo alijiweka mwenyewe kugombea, wakawaondoa wale wote waliompinga ikiwa ni pamoja na Luhaga Mpina, hivi kweli alimuogopa hadi Luhaga Mpina????????? Aisee ni noma, yaani alipendelewa mno, yaani ni kama senta forward ameachiwa goli mwenyewe, bila goalkeeper au wachezaji wowote wa kumkaba......AKASHINDWA KUFUNGA. Sijawahi kuona ujinga uliofanywa na hili limama na her cronies.........Yaani mwenyewe kaachiwa na bado kashindwa, eti kapata kura Mil. 32, zilitoka wapi? Nchi hii ina wajinga wa kupitiliza, hawakufika watu Mil.1 waliopiga kura na wengi walim-vote out. Hakushinda hata kura laki 2. Mama wa ajabu sana, AKILI HAMNA, anazo za kutafuta na kuua watu wanaotofautiana naye. SHITHOLE.Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.
Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea
Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.
Afanyeje ili mambo yapoe?
We mjane wa Marehemu Shetani lenu la Chato unatapatapa sana! Bado huamini Shetani lenu haliwezi kurudi tena!Hali ni mbaya sana kwa huyu kiongozi ambaye mitaani wanasema ni haramu.
Mimi nilidhani kadili siku zitapoenda watasahau juu ya yaliyotokea Oktoba 29 pamoja na tuhuma za ufisadi na mafisadi anayoyapendelea
Naona kadiri siku zinavyozidi ndio anazidi kuchukiwa.
Afanyeje ili mambo yapoe?
Kelele za chura-Kiziwi? Mbona anateka na kuua wasio na hatia.......Adhabu za milele zinamsubiri. Bado huku duniani.....sidhani kama atatoboa muuaji huyo, unamuona wa maana muuaji huyo? Una matatizo kichwani.Kelele za chura hazimzuii Tembo kunywa maji
Hasa huyu Idugunde anateseka sana lkn anasahau yeye alikuwa ndio chawa wa Ngosha enzi hizo CDM wanamchukiafanya tafiti uje na namba
usimtegemee recho dangwa
kwani mnaowaita machawa na wao wanamchukia?
umesahau kikwete aliambiwa na chadema nchi isingetawalika ikawa migomo na maandamano kila siku ulikuja hapa kusema rais anachukiwa?
chadema walimkataa kikwete awamu ya pili umesahau?
chadema walimkataa magu awamu zote 2 mpaka bungeni walitoka kumsusia umesahau?
kwa akili yako unataka chadema wampende rais wa chama cha ccm ili waitwe chama cha kwenye flash?
mtapiga kelele lkn nchi inasonga susieni na uchaguzi wa 2030 mje mlalamike hapa
fanya tafiti uje na namba
usimtegemee recho dangwa
kwani mnaowaita machawa na wao wanamchukia?
umesahau kikwete aliambiwa na chadema nchi isingetawalika ikawa migomo na maandamano kila siku ulikuja hapa kusema rais anachukiwa?
chadema walimkataa kikwete awamu ya pili umesahau?
chadema walimkataa magu awamu zote 2 mpaka bungeni walitoka kumsusia umesahau?
kwa akili yako unataka chadema wampende rais wa chama cha ccm ili waitwe chama cha kwenye flash?
mtapiga kelele lkn nchi inasonga susieni na uchaguzi wa 2030 mje mlalamike hapa
Ok, hatujitambui. Lakini tunawaongoza mnaojitambua. Hatukutaka vurugu ili tuishike nchi na tumefanikiwa. Sasa unayeongozwa na asiyejitambua wewe unakuwa nani kama sio Mbumbumbu?Huko niliko-bold unaona kabisa kuna watu wanaojitambua?wewe mwenyewe ukiwa mmoja wa wakazi wa huko mnajiona mna akili za kawaida kweli?
Sawa, hebu tutajieni Rais ambaye alikubaliwa na Watz wakamchaguaMie nna ndg mkoa wa pwani alisimamia uchaguzi tena vijijini, alinipa ushuhuda kwamba wapigakura waliojitokeza walikuwa watu wachache sana na kwamba hakukuwa na vurugu kabisa.
Tena kati ya waliojitokeza % kubwa walikuwa ni wazee tuu!.
Kubali kataa, samuya alikataliwa na watz!!!.
wanapojitambua wapi ili tuone kama hawakupiga kura? arusha, mbeya, musoma, kura zimepigwa sema hiyo mikoa wajinga wengi hawajitambui na adabu na nidhamu hawana ndio maana wanapelekeshwa hovyo, mikoa uliyobold heshima, adabu na nidhamu ni kubwa sana.Huko niliko-bold unaona kabisa kuna watu wanaojitambua?wewe mwenyewe ukiwa mmoja wa wakazi wa huko mnajiona mna akili za kawaida kweli?
Nakuona kama unaandika huku umevimbisha mashavu. Wanaomkataa ni wananchi wewe unabinuka na kusema Chadema. Ila nakuelewa maana utakula wapi na mimi siwezi kukupa mlofanya tafiti uje na namba
usimtegemee recho dangwa
kwani mnaowaita machawa na wao wanamchukia?
umesahau kikwete aliambiwa na chadema nchi isingetawalika ikawa migomo na maandamano kila siku ulikuja hapa kusema rais anachukiwa?
chadema walimkataa kikwete awamu ya pili umesahau?
chadema walimkataa magu awamu zote 2 mpaka bungeni walitoka kumsusia umesahau?
kwa akili yako unataka chadema wampende rais wa chama cha ccm ili waitwe chama cha kwenye flash?
mtapiga kelele lkn nchi inasonga susieni na uchaguzi wa 2030 mje mlalamike hapa
Wanasahau kwamba huu uchaguzi ulisimamiwa na watu tunaoishi nao. Waliosimamia uchaguzi wamekuwa wakweli sana katika hili.Mie nna ndg mkoa wa pwani alisimamia uchaguzi tena vijijini, alinipa ushuhuda kwamba wapigakura waliojitokeza walikuwa watu wachache sana na kwamba hakukuwa na vurugu kabisa.
Tena kati ya waliojitokeza % kubwa walikuwa ni wazee tuu!.
Kubali kataa, samuya alikataliwa na watz!!!.
Tunao wauza mkaa wengi tu mjini hapa wanaompenda Samia. We baki na hao wanaomchukia msubiri 2030.Unamlilia nani? Kama mil 32+ mlimchagua mbona hadi wauza mkaa na wauza kahawa wanamchukia
Itisha maoni hata hapo kwenye familia yako kama unayo utapata majibu. Ndiyo maana anaishi kama digidigi ndani ya nchi yake.nonsense,
ikiwa unachuki nae binafsi huna haja ya kusingizia mamilioni ya waTanzania chuki binafsi zako.
Nadhani itapendeza zaidi,
kususia uchaguzi kuna madhara makubwa zaidi kwa msusaji akilini na moyoni, ikiwa ni pamoja na chuki binafsi.
Rais Dr.Samia Suluhu Hassan ni kipenzi cha waTanzania wote, Africa na duniani kote and no body can disband that light truth 🐒
Kipenzi cha waTanzania wote Dr Samia Suluhu Hassan ana wajibu wa kizalendo wa kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM,Itisha maoni hata hapo kwenye familia yako kama unayo utapata majibu. Ndiyo maana anaishi kama digidigi ndani ya nchi yake.