Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.
Nasikitika kuona nimekaa kitako hapa kwa mda mrefu tangu uzi huu uanza lakini sioni historia zaidi ya histohisia tu na udini,

Mimi nilishasomesha sana kwenye mjadala wangu na Mzee wangu Mohamed Said uitwao

"Uchochezi wa Mohamed Said dhidi ya wapigania uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Mjadala ule upo hapa jf, hivyo kila kinachoongelewa hapa tayari tulishakiongea kwa mapana yote,

Hakuna ambae alifuatilia uzi ule halafu leo atasema hajui historia ya Bibi Titi na wengine wote waliopigania uhuru na mapito yake,

Ninawashangaa sana Ritz na GombeSugu kwani niliwafundisha vya kutosha sana kule, lakini hapa wanapiga porojo za abunuasi tu,

Shukrani kwa Mag3, Nguruvi3 na Mwanakijiji ambao kwahakikika walishirikiana nami kumnyoa Mohamed Said
 
Alikuwa anafanya kazi yake kama afanyavyo sasa Mbatia, Lipumba, Cheyo, Marando, Zitto Kabwe , Shibuda, etc!!!! Hapo chachaaaaaa tena sana. Siku ya siku itajulikana mpinzani wa kweli ni nani?
Ndugu yangu nakushauri ungekuwa msomaji tu kwenye huu uzi ungejifunza mengi, bahati mbaya wewe kila sehemu unaleta mambo ya Chadema na CCM.
 

Sishangai kuona uongo kuwa ni jadi kwenu. Hivi wewe haswa wa kumfundisha nani historia ya Tanganyika na hawa wazee wa Dar Es Salaam?

Unanchekesha!
 

Naona majina ni ya wale-wale tu, na wao walimpinga Nyerere? kwanini?
 
Mkuu naona hostoria ya Tanganyika unapishana nayo, hapa siyo Mwanyamala ni Kariakoo hiyo, leta ushahidi wa haya maneno yako mkuu.

Cc; THE BIG SHOW, FaizaFoxy,

Mkuu Ritz,mimi sipo kubishana,kumbukumbu yangu ya haraka iliniambia kwa Mzee Mwinjuma,Mwananyamala,natumia cmu,picha zote ninazo,ebu nijibu hoja zangu kaka,Leo na kesho hatupo.Tutimize majukumu yetu hata kama hatuwezi kusimama kwenye majukwaa.Mi napenda nifahamu zaid,Sheikh Mohamed Said,wajina wa rafiki yangu nimemusoma vitabu vyake karibu vyote,na hakika nampenda though anapotosha,Kuna kipindi kwenye maisha yangu nilimchukia Nyerere na historia nzima ya Tanganyika,kisa vitabu vya Sheikh Mohamed Said,may b Nina conflict of interest,maana mi ni mkiristo,lakin nimeutafuta ukweli,ucku uje,mchaba uondoke hakuna mtu waislamu wanapaswa wamheshimu kama Nyerere,vyovyote mtakavyomsema,it is ok,he was a great man and who ever shall try to undermine Nyerere ni wazi Ana lake jambo,was a great man.
 
Last edited by a moderator:
Naona majina ni ya wale-wale tu, na wao walimpinga Nyerere? kwanini?
Dada angu,ebu acha udini,nakupenda,nakuheshimu,After Ashadii,unayefuatia ni wewe lakin unakoelekea,ulikuwa wa kujenga hoja,lakin cku hiz,mh.
Ok.Tuacheni hisia za kidini,tusemezane ukweli wa haki ndugu zangu,hisia za kidini hazijengi maana ukimuita mbudha yeyote atakwambia uislamu na ukristo ni mambo ya ajabu,hivyo ondoemi hisia hizo.
 

Udini ni nini?
 

Halafu wewe ndio unaniambia mimi "wacha udini"? Unanshangaza! Hivi hicho ulichokiandika hapo ni nini? Jisome tena.
 
Wewe umezaliwa 1982 kutokana na maandiko yako mwenyewe toke utoke Iringa kuja Dar es Salaam hauna hata miaka mitano.

Itakuwa kituko uwafundishe watu wa Mzizima historia ya Tanganyika.

AA,TAA, TANU zimetokana na mababu zetu na baba zetu.
 
Huyu mzeee na historia zake anawapotosha sana wavivu wa kufikiri kama wewe...

Historia ya nchi hii unaijua wewe??
Kwa ufinyu wako wa kufikiri, unadhani TANU tu ndio kilikua chama kinachoendeleza harakati za kugombea uhuru wa nchi hii enzi hizo??, kwa taarifa yako vilikuwepo vyama zaidi ya kumi na tatu.

mbona hamtaki kutaja harakati za watu wa kilimanjaro na wale wapare kugombea uhuru, ambazo zilikua na nguvu kuliko hata hiyo TANU?? Au umeona tu hizo za watu wa Tanu ambao unafikiri wana mrengo wa kidini na wewe??
 
Hawezi, atautolea wapi?
Dada FaizaFoxy sipo hapa kubishana,nipo neutral kuliko maelezo,Sheikh Mohamed Said nimemusoma sana vitabu vyake,kiukwel anapotosha sana,ni wazi alihoji na kuongea na ndugu na jamaa wa Islamists waliokuwepo kwenye vuguvugu la uhuru,na kingine ukumbuke unasaba wake na watu hao.
Ni kweli historia haikuwakumbuka baadhi kulingana na umuhimu wao,maana hata mizani ulalia kulipo na uzito zaidi,ni nature.
Je Sheikh Mohamed Said aliyoandika kutokana na ufuatiliaji wake Yana uhakika wa percentage kiasi gani?
Yumkini tunaelezana pasipo kujua,lakin historia ya Nyerere haiwez kufutika kama ilivyo ya Kleist Sykes.Lakin daima mizani ulalia palipo na uzito,mwenye kuchukia uzito na achukie lakin ukweli utabaki hapo,Mbona chuki hizi za udini hawakuwahi Kuna nazo wakina Mzee Twalipo,Mzee Aziz Aly mpaka wanakufa?hakika Nyerere angekuwa wa ajabu Leo msingezungumza,chunguzeni na mje na ukweli.
 
Nani sasa yupo kwa ajili ya kubishana? Mie sina tatizo na fikra zako, wewe ndiyo umeanza kunishambulia kuniita mdini sijui tatizo ni nini.

Vizuri kama unazo hizo picha ukipata wasaa tuwekee utupe na historia yake tujifunze kutoka kwako.

Mada iliyopo ni Bibi Titi na Kambona walivyotaka kumuua nadhani huu ndiyo mjadala.
 
.....ufisadi nchi hii ulianza zamani, kachukua 1m akadai kapewa 2,000/=.....duu, hii ni balaa...


Mkuu ufisadi ulianza zamani... hata wale jamaa waliomsulubisha Yesu walipewa misumari minne ili watumie msumari mmoja kwenye kila mkono na mguu lakini walitumia misumari mitatu wakapiga msumari mmoja kila mkono afu miguu wakaunganisha wakatumia msumari mmoja. Jumla misumari mitatu.. Afu ule mmoja wa nne hawakurudisha...
 
Halafu wewe ndio unaniambia mimi "wacha udini"? Unanshangaza! Hivi hicho ulichokiandika hapo ni nini? Jisome tena.

Dada nipo zaid ya neutral,nimekir ni mkiristo,maana sipo kujibizana na mtu,wala kubishana na sipo kiimani am neutral kuliko unavyofikiria,tuzungumze ukwel.
 
.
Yap,mada iliyopo ni ya Bibi Titi Mohamed na namna ALIVYOTAKA kushirikiana na Oscar Nathaniel Kambona kumuua Julius Kambarage Nyerere.
Tumeeleza nini chanzo,na kupingana na fikra mfu zilizopo.Miaka michache ijayo hakika kizazi chote chenywe ukweli kitapotea,chonde chonde,waislamu kwa wakristo tutafute ukweli,isiwe yale yale ya Zanzibar kumuuliza Mzee Nasooro Moyo,historia ya mapinduzi,anakuja na mambo ya abunuwasii,tuwe wakweli,ukweli na uongo ni kama mafuta na maji.Kusema uongo ni dhambi,hata kwa asiye abudu c vizuri,tujifunze kuwa wakweli,huwezi ukamsema vibaya Nyerere na wote wakina Ritz mliofuatia,tuwe wakweli.Alipenda dini yake but hakuwa mdini,it is the same like Kikwete,c mdini ila mnamsumbua anaamua kuwaridhisha.
 

hivi baada ya kujidangnaya mnapata faida gani?
 

Bibi Titi alikuwa changu tuu ktk siasa...alikuwa nusunusu kwa wanaharakati wa kiislam wazee wa MS wapindua misikitini , na alikuwa muu nje ktk TANU.Nyerere alimtumia tuu ktk kuhamasisha wanawake ....km CDM wasivyotaka deal evenly with Zitto au mama yake.Hakuna asiyejua kuwa wapo busy sana na vi deal vidogovidogo vya kidini , kikanda, kibinafsi etc...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…