Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Tujikumbushe: Bibi Titi alivyomwaga fedha kumuua Nyerere

Status
Not open for further replies.
acha umbumbu wewe..

Ni sawa na kutaka chadema wamuenzi Juliana Shonza ...

Mzee unamaliza......bibi Titi hakuwa na Tofauti ingawa Nyerere alimtumia hivyihivyo pamoja na kutoaminika wala kuwa na uwezo mkubwa....kwa sababu ya hali ilivyokuwa...ndio maana kila alipolia ,alipoasi mwalimu alimrudisha kk mstari hivyohivyo hadi mama akajitambua , akakomaa, na akafikia mahali pa kuona kuwa ktk TANU kuna Life..
 
Dah nicholaus hapo umeongea pumba tupu..inaonekana kumbe humjui haroub wala humjui shivji..nimeamini humjui uliposema shivji nae mdini...mwanangu we hakuna kitu..pumba..nyamaza tu..uchune..

Wabongo mna vichwa pumba na si tuu mnatema pumba..Sasa umesema nini hapa?Unanishutumu, nidharau..halafu unamaliza kwa ujinga bila proof, wala maelezo ya maana....mmekuwa brainwashed na hawa wehu ..kila media inawapigia debe km JK alivyopigiwa debe ili vichwa vijiandae kukubali kila kitu blindly...hao jamaa wasiwatishe na Uprof wao..Hawana kitu.....kimaadili, kifikra etc,,,ndio maana Vichwa vyao vinapendelea baised views..

Utaendelea sikiliza sifa za kibongo ambazo zina malengo mabaya sana .....nyingi ni za kimikakati ili baadae watumike kuwalazimsiha kitu, ili wamsafishe mtu, etc.....hata Lipumba hadi leo anapigiwa debe..km akili yak ahaipo kichwani utamsubiri sana huyu prof awe prof ..unaweza pigana na wengine wanaoona hakuna kitu ukawaita wana ubaguzi wa rangi, sijui wa dini ..kumbe ni wewe na wenzio ndio mnashida za kupima watu.
 
Naona mlevi kaamka. Sasa ni mwendo wa viroba tu,haya mkuu mwaga pumba
 
Mheshimiwa jaribu kustabirize your mind usiwe kipofu. Watu watakudharau sana.

ndio nini ktk red?


Haha...wewe kichwa maji sana...unataka usidharaulike....kwa taarifa yako hakuna mtu asiyedharaulika duniani na watu wengine.Does it make them weak, stupid, ignorant etc?

Kuna millions of great things ukifuata watu hutofika.
 
I read your waste!

You talk like you blundered into someone else nightmare.

Wake up and get some sense in your bloody head!

Your attitude is always counter-productive. I wouldn't say arrogant,but comfortable ignorant.

You cannot provide a solution to the mess you live on! This is much deeper than being judgemental of finger pointing.

Muslims need an aggresive and intelligent response to the reality and issues we're facing in our Country... and We are here to stay,just get over it!

Ahsanta.

Ninachowapenda mpo km nyumbu huwa mnaanza kwa mbwembwe nyingi halafu mnamalizia km bondia aliyeingia jukwaani kujizuia uso tuu akidhani atapata draw....halafu ngumi chache nzuri zikiingia ama knockout au ashindwe kw apointi kirahisi.



Sasa km waislam wanahitaji ulichoandika ktk red ..sasa unategemea nania awape?Si ndio unathibitisha nilichoandika....kuwa waislam hata uhuru hawakuwa na haja nao km ilivyo sensa leo.Wao iimradi suala zima lisiingilie utamaduni wao wa kutembea na ndizi..na ikibidi sahani ziongezeke., wazee kadhaa waingizwe ktk kamati za ulaji..
 
Mkuu huyu Nicholas wala usibishane nae la sivyo tafta hedex kabisa atakupasua kichwa,kwanza sasa ivi ana comment wakati bichwa limejaa viroba

Naona unapenda sana ID yangu......seems ni mechukua shemu kubwa sana ya fikra zako.Usihofu kazifute kwa kusoma Bible angalau Injili ya Yohane..ili uje bishana vyema.
 
Mkuu Ritz pamoja na gombesugu mnamwona mzee wakuharisha Nicholas! Halafu nachoshangaa huyu mgalatia anaingia jf usiku tu,yaani kama changu na mitaa ya ohio

Ah hah..?Umetoka wanunua.....nini naona upo active usiku...na unawakumbuka hao machangu...Hakuna shobo ..si huw amnaamini ktk kununu amalaya na kufunga ndoa asbh unaweza mtaliki..ni business nzuri kwenu.Ndio marupurupu ya Ndoa za MUTTAH.Unaunua malaya na kufunga ndoa za muda unaotaka kupeta.
 
Nicholas nikikujibu ntakula ban endelea tu kumwaga pumba zako hapa

kwanini mkuu ule ban?Kwanini uogope ban km wewe unaamini usemalo...?sasa kuna haja gani kuwa JF km zaidi ya mawazo yako yanakusababishia ban ambayo kwako ni tishio kubwa?

Pengine ungesema tuu km ulitaka mwaga matusi..hayo nimeayazoea sana humu..ktk mujaheeds wote humu ndani hakuna hajawahi nitukana kwa muda wake.
 
Nyerere alikuwa smart sana kuliko hawa mujahedeen , many times over......niliwahi waambia Nyerere alikuwa njia, ubongo na kila kitu kwa Tanganyaika na Tanzania.

Bibi Titi alikuwa chakula mjini km wengine..ila Nyerere alimhitaji sana kuwakusanya akina mama wa Kiislam..ndio maana hadi leo wanawake wajingawajinga wapo kwa vile mama zao wajingawajinga walipata nafasi za bure na kuwarithisha.....Nyerere aliona bora kuwachapa viboko kuliko waachia hawa magaidi wakajenge kambi ya shida.

Hata haoa kina sykes sijui na nani....Nyerere aliwawatibulia ugaidi wao km Israeli anavyochelewesha Iran kupata silaja kwa kuweka uchafu ktk vinu , kuweka virusu ktk computer na kugereverse issue ilimradi basi.Ili wawe busy na ushirikina wakidhani wamelogwa.

Nyerere kuna mara alitumia mchawi mpe mtoto ,,,,,mara nyingine aliwatokea ghfla na kuwachapa maswali wasiyotegemea hadi wakapoteza mistari wanayomzeshwa kwa ajili ya ubishi km wanavyokariri ya Biblia wakshidnane na wakristu...

Huyo ni bibi titi na kawawa wake, ambao ndio best ktk waislama waliokuwa wanataka Tanganyika waislam waliokuwa wanataka uhuru.....sijui itakuweje wengine ambao ndio waliofikia weka mashrti ,bila hivyo wasingeingia kuongeza idadi aliyotaka nyerere ili kuweza wakabili UN kuwapa watanganyika uhuru wao.

Leo hii wapo busy kuwa sijui uislam , sijui sykes, sijui nini na nini.........Hawa uazao wa binamu nyama ya hamu ....hawana ubongo wa kuchagua pande sahihi wa ya historia kitu chohcote duniani..Watapiga kelele san aila wakikaa watakubaliana na mimi.




We kweli mwehu...sijui hata umeandika nini? Mkuu kuwa chizi sio mpaka uende mirembe.
 
Haroub Othman ni islamist mwingine ambaye alikuwa mhuni tuu aliyejificha chini ya mzungu wa prof...na UDSM enzi ya monopoly yake.Ndie aliyenifanya niichukie, niidharau na kuanza ifuatili UDSM kwa makini.Wao andio waligeuza chuo kuwa cha wapiga debe wa wahalifu wote wa Africa...Nilisikiliza mara moja moja akiohijiwa BBC na waandishi wajinga wenye mchanganyiko wa kijamaa, na kiislam..ambao ni ngumnu san kuona ukweli zaid ya propaganda.Kunazia hapo hadi Leo nasema afike haraka alipo John Mpiga Ramli aliyependa jiita mnajimu mkuua.Kutoka Magomeni.


Wewe unaamini Nyerere alivyoamua kutojibu alikosea....?Kweni Nyerere alikuwa kichwa, kma lizungukwa hadi na maprofessor wajinga wanaoendeshwa na masheikha wasio na shule......hakutaka wapa nafsi ya kuendesha propaganda au lolote la kuwafanya mpate sababua ya kuanzisha uasi na mwishowe muanze badilisha kila sbaabu ilimradi tuu ugaidi ufanyike..Matokeo yake Nyerere akafanikiwa wakata mishipa ya ugaidi ahadia kafa..angeomba nini Tena kwa Mungu.Km ni Legacy yake mejaribu izika bado haizibiki..yeye wala hahitaji sifa zote ila zile kdogo mlizoshindwa zificha zilizowapokonya.Kwani zinatohsa kuwamaliza bado.

prof Haroub othman, Lipumba, Malima,Shivji....ni laana ya nchi...wana abuse sana Ilm Dunia....kweli majinn yana nguvu ya kuwaharibu watu akili.Hata mimi nisingemjibu mbea km haroub Othman..Nyerere alijua nia ya yule kimeo ndio maana akamwacha..kwani Mwajiriwa wa serikali badala ya kutoa elimu alikuwa akihubiri dini....badala ya kufanya tafiiti alikuwa akifanya majungu.

Sas wamefikia wapi..?



Mtoto wa kiume kuwa na tabia za kike hata haipendezi kwa kweli,,,,au ni wa kike unatumia ID ya kiume? Maana umekaa kichuki zaidi Binti yangu.
 
Mtoto wa kiume kuwa na tabia za kike hata haipendezi kwa kweli,,,,au ni wa kike unatumia ID ya kiume? Maana umekaa kichuki zaidi Binti yangu.

Hivi kweli unajibu hoja makini kwa huu upumbavu?Kweli usiwape nguruwe kilicho chema..waatakinajisi kwa kukivuruga ktk matope na mavi yake.

Hujasoma wala kuelewa kitu, kwa vile umeona maneno yanayowakataa moja kwa moja ukahamia ktk masterpiece ya ilm ya miskitini.
 
We kweli mwehu...sijui hata umeandika nini? Mkuu kuwa chizi sio mpaka uende mirembe.

Ndivyo unavyojiingiza ktk kundi la wasomi na wenye fikra pevu..?

tanzaia kuna Mamprofessor wenye maana wachache sana..wengini type ya akina Lipumba...........
 
Wewe umezaliwa 1982 kutokana na maandiko yako mwenyewe toke utoke Iringa kuja Dar es Salaam hauna hata miaka mitano.

Itakuwa kituko uwafundishe watu wa Mzizima historia ya Tanganyika.

AA,TAA, TANU zimetokana na mababu zetu na baba zetu.



Kumbe hata mahindi ya njano hajayala? Zoea kwanza Dar es Salaam
 
Ndivyo unavyojiingiza ktk kundi la wasomi na wenye fikra pevu..?

tanzaia kuna Mamprofessor wenye maana wachache sana..wengini type ya akina Lipumba...........


Tatizo udini umekutawala Binti yangu.
 
Tatizo udini umekutawala Binti yangu.

kinachokuua wewe ni udini.Ndio maana kila jina la kidini unakufa ukilazimisha likubalike.Si ndio nyie mpo busy hapa mnadaia histori ya uislam kwa makafiri na si huko miskiniti kwenu?
 
Hii picha imepigwa kabla ya uhuru wa Tanganyika, kulia kwa Nyerere ni Bibi Titi ambaye tunakaririshwa kuwa alitaka kumuua Nyerere, hawa wazee wa Dar es Salaam, walikuwa na mapenzi makubwa sana na Nyerere waliishi naye kama ndugu yao.


BibiNyerrecruiting.jpg



Shariff Ritz,

Salaam.

Ati nasikia enzi za yule Nyerere ukikutwa/ukikamatwa na picha kama hizi unafungwa!? Kwi! Kwi! Kwi!

Tafadhali tujulishe maana wewe ndo Mwanahistoria wetu uliebakia kwa sasa na tunaekuaminia humu Jf...baada ya jitihada nyingi zifanyazwo ili kumnyamazisha Scholar/Historian mahiri Sheikh Mohammed Said!?

Waliobakia wengi mno humu watakua ndo kati ya walewale tu, Wageni...na history zao za kikanjanja itakua ndio zilezile "Official History"/Story! Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.

Cc;Tayeb,Kahtaan
 
Naona majina ni ya wale-wale tu, na wao walimpinga Nyerere? kwanini?


Chondechonde Aunt Faiza;hao "jamaa zetu" ukiuliza masuali "magumu" au yenye maana,logic na objective kama hayo... hawakawilii sasa hivi kukuita gaidi au mdini!? Kwi! Kwi! Kwi!

Ahsanta.
 
Nasikitika kuona nimekaa kitako hapa kwa mda mrefu tangu uzi huu uanza lakini sioni historia zaidi ya histohisia tu na udini,

Mimi nilishasomesha sana kwenye mjadala wangu na Mzee wangu Mohamed Said uitwao

"Uchochezi wa Mohamed Said dhidi ya wapigania uhuru wa Tanganyika na Zanzibar"

Mjadala ule upo hapa jf, hivyo kila kinachoongelewa hapa tayari tulishakiongea kwa mapana yote,

Hakuna ambae alifuatilia uzi ule halafu leo atasema hajui historia ya Bibi Titi na wengine wote waliopigania uhuru na mapito yake,

Ninawashangaa sana Ritz na GombeSugu kwani niliwafundisha vya kutosha sana kule, lakini hapa wanapiga porojo za abunuasi tu,

Shukrani kwa Mag3, Nguruvi3 na Mwanakijiji ambao kwahakikika walishirikiana nami kumnyoa Mohamed Said



You just need to go away as I'm so fed up with seeing your shit posts!

You are so overrated and only seeking attention.

People like you are submissive,and don't know to take care of yourselves,leaving mfumoKristo and the rest of us to take of you lots as property.

...no intellect at all. Typical Chadema worshiper,just full of shit and Islamophobia!


Ahsanta.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom