Tujikumbushe hii kauli tata ya marehemu mwanamuziki Diana Aston Villa kwa faida ya wote

kwa hali Ile ARV zimeshashindwa,hamna tena dawa
 
Kabula ameshapona na kurudi barabarani??? Si alipata ugonjwa wa akili akawa kalazwa muhimbili???
Mi nilimwona Mwanza mwenzi mmoja uliopita, na juzi nimemsikia akihojiwa akasema soon atarejea Dar, bado yupo Mwanza.
 
Sawa. Mi nilikuwa napiga papuchi, ile na pump in, condom ikapasuka, nikachovya live, nikachomoa fasta , nikamwambie demu tukitoka kwanza kupima. Nilishangaa Dr. Ananinambia mwenzangu ameathirika siku nyingi tu. Nilirudia majibu baada ya miezi 3 sina tatizo,yule demu bado yupo vizuri na anafanya mambo yake kama kawaida na kugawa kwa watu wengine. Huwezi kumjua kwa kuangalia ila inaelekea kwenye game anachoka mapema. Kinga ni muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…