joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sina dharau ila kwa hiyo kauli yako isiyokuwa ya kibinaadamu sinzuri,kwa hiyo sina haja ya kukujua wala kukuheshimu kwani humu hatujuani na sina haja ya kukujua ww kwani huna umuhimu wowote katika maisha yangu.Alafu sinaga tabia yakuzoena na watu wenye kauli kama zenu zilizojaa majivuno mpaka kwenye mambo ya kibinaadam.Acha dharau basi.Jenga hoja,au unadhani wote humu tunapenda kutupiana maneno mabaya ? Heshimu hata usiowajua
PoaSina dharau ila kwa hiyo kauli yako isiyokuwa ya kibinaadamu sinzuri,kwa hiyo sina haja ya kukujua wa kukuheshimu kwa humu hatujuani na sina haja ya kukujua ww kwani huna umuhimu wowote katika maisha yangu.
sawaHuu ugonjwa ni Hatari, sijui kwanini mpaka sasa hauna dawa.
Baada ya diana washaondoka wawili Aisha na Banza .
Abuu yeye alikufa kwa ajali.
Choki, stive nyerere na Hao wengine inawezekana hawana.
MmhHii story inaukweli...hiyo ni chain ya ngono hapo..kuna mmoja yupo hai bado na nishamhudumia kitengoni...ukimwi unaua na upo....bado bongo muvi na kubadilishana kwao viburudisho
Duh hatari saan aisee
Yupo anaimba siku hiziLilian internet yupo?
Yes, ugonjwa wa akili kwa watu wenye HIV in kawaida, usababishwa na magonjwa nyemelezi nk mfano 1. Cryptococal meningitis, 2 bacteria meningitis,3. HIV encephalitis au space occupied lesson SOL, hinyo basi mgonjwa akipewa dawa sahihi pamoja na ARV anapona kabisa ugonjwa wa akili.Sawa ni kweli zinasaidia sana, ndio hadi zimeponesha na ugonjwa wa akili? Au haikua ugonjwa wa akili?
Mkuu hiyo list ni kwa uchache tu, gazeti kuna baadhi ya watu wenye status kubwa liliogoba kuwa publish, kiufupi chain hii ni kubwa sana alitaja Steve "nyenyere" mwenyewe 2008 mbele ya mzazi wa Diana (nurse amana Hosp) kipindi hicho Diana yuko hoi, nice yuko na kabula wanakula bata....Kwa hiyo wamebaki wangapi ili tuongezee na akina Naseeb
[emoji16][emoji16][emoji16] pole mkuu, kuepuka ngoma inabidi ugome tuu kupimaMkuu hiyo list ni kwa uchache tu, gazeti kuna baadhi ya watu wenye status kubwa liliogoba kuwa publish, kiufupi chain hii ni kubwa sana alitaja Steve "nyenyere" mwenyewe 2008 mbele ya mzazi wa Diana (nurse amana Hosp) kipindi hicho Diana yuko hoi, nice yuko na kabula wanakula bata....
Je mnamkumbuka kapteni bonge wa "mbwinga +-" aka mgeni ameingia, Alazwe Pema peponi, inasemekana ndo chanzo according to Steve, ila gazeti never mentioned him..... Unaweza tengeneza chain nyingine from him make alikuwa mzee wa totoz.
Ngoja niishie hapa nikapime kwanza,make juzi juzi tu nimepita barabara ya vumbi wakuu.
Toa Ushuhuda basiHUU UGONJWA NI HATARI
NIMESHUHUDIA FAMILIA YA NDUGU YANGU IKITEKEA.
Nachozidi kuamini kifo ajuaye ni Mungu tu...kuna mtu tuliambiwa hamalizi mwaka jana lakini yupo anadunda tu.Wame kufa wangapi ata saiv