National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,213
😅😅 Akili za wapinzani wao ni kukimbilia matusi, na kejeli na sio hoja.. Mtaendelea tawaliwa sana na CCM maana uwezo mdogo sanaAfadhari hata kisoda kina akili ya kushikilia gesi iliyomo kwenye soda isitoke..!! Hii njemba National Anthem haina kabisa wallah
Na hao wapinzani unaosema hawana akili huku wanaohamia CCM kwa hiari au kwa kununuliwa, una lipi la kuwaambia..???😅😅 Akili za wapinzani wao ni kukimbilia matusi, na kejeli na sio hoja.. Mtaendelea tawaliwa sana na CCM maana uwezo mdogo sana
Rudia kusoma nimesema baadhi ya wapinzani na sio wote na kihalisia sio kwamba hawana akili ila wanajitoa tu akili na kuzitumia akili vibaya kutokana na tamaa zao binafsi na sio kuangalia kitaifaNa hao wapinzani unaosema hawana akili huku wanaohamia CCM kwa hiari au kwa kununuliwa, una lipi la kuwaambia..???
Umesema baadhi ya wapinzani, lakini mwenzenu alisema maendeleo hawezi peleka kwa wapinzani wote..!! HakuchaguaRudia kusoma nimesema baadhi ya wapinzani na sio wote na kihalisia sio kwamba hawana akili ila wanajitoa tu akili na kuzitumia akili vibaya kutokana na tamaa zao binafsi na sio kuangalia kitaifa
Hoja gani? Hoja za kutopeleka maendeleo kwa wapinzani huku unakusanya kodi zao?[emoji28][emoji28] Akili za wapinzani wao ni kukimbilia matusi, na kejeli na sio hoja.. Mtaendelea tawaliwa sana na CCM maana uwezo mdogo sana
Ukweli mimi simpendi huyu mpayukaji, ila kumwita kiwete ni kejeli mbaya maana hakuzaliwa na huo u kiwete, yeye kaumizwa na mwanadamu dhalimu so usimkejeli labda kama ulihusika kummiminia Yale marisasi.Vipi kuhusu yule kiwete wenu aliohifadhiwa ubeligiji? Kauli zake za kibwege mbona hujazitaja
Kauli ilikuwa na maana zaidi ya ulichosikia. Maana ya JPM ilikuwa ni hii " asingeweza kupeleka maendeleo mahala ambapo, kuna wanao pinga hayo maendeleo kwenda, na wanao pinga maendeleo sio CDM peke yake hata kuna tamaduni na aina za watu zipo kinyume na baadhi ya maendeleo, by default mahala pakishakuwa na ukinzani wewe unapeleka A wao wanataka C ni ngumu kufanyika kitu" ila kauli za kisiaa na wanasiasa wenye ni kauli za fata upepo, zenye viburi kujiinua kila mwana siasa ana mambo yake ya ajabu ambayo ukiangalia kwa mlengo mwingine mtapishana..Umesema baadhi ya wapinzani, lakini mwenzenu alisema maendeleo hawezi peleka kwa wapinzani wote..!! Hakuchagua
Hakuna cha baadhi ya wapinzani mkuu.Umesema baadhi ya wapinzani, lakini mwenzenu alisema maendeleo hawezi peleka kwa wapinzani wote..!! Hakuchagua
Ujue ukishakuwa na picha mbaya kwa mtu, kila kitu kwa yule mtu utakiona kibaya huto kaa ukaona zuri hata moja.Hoja gani? Hoja za kutopeleka maendeleo kwa wapinzani huku unakusanya kodi zao?
Yaani kiongozi uwatese raia wako unao waongoza kwa kukataa kuwapelekea maendeleo, kisa tu umetofautiana na mbowe au Tundu Lisu ambao hawajui hata shida nn?
Wewe unakuwa ni kiongozi au takataka?
Yaani ww na mkeo mtofautiane mawazo ww uache kupeleka chakula nyumbani watoto watoto washinde njaa ili kumkomoa mkeo?hivi unakuwa na akili au mavi kichwani?
Wee ni taira wa mwishoo kwenyee hii nchiiJPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
😅😅😅Ndio nguvu ya wapinzani ni matusi na kejeli, anaekupa jina ana nguvu ya kuku control ndio hii sasa.. Alie wapa majina ana power ya kucheza na akili zenu.. Sishangai hata maana sasa hivi hamna hoja.. Mnaruka ruka nimeona msha mrukia dogo majaliwa wakati kuna issue nzito na nyeti sana kama taifa tunatakiwa ku deal nazo pole sana wapinzani uchwara
Maendeleo gani waliokwamisha sema ata matatu tu mmekaririshwa na yule marehemu kwa siasa zake chafu alafu unakuja kupiga makelele apaWapinzani wa nchii hii ( baadhi yao na sio wote) wamekuwa sababu pia ya kukwamisha maendeleo hata katika maeneo yao, kwa kujiona wao kwakua ni wapinzani basi kila kitu wapinge.. Kauli ya JPM kama ungetumia akili zako vyema ungemuelewa
Punguza uchungu mkuu, tanzania ni yetu sote, hakuna anae taka maumivu na mabaya kwenye nchi yake kama yaliyopo sasa kila kona watu wana nung'unika na kulia, tuwekeze nguvu kata haya ya sasa. Kujadili na kushindana kwa mtu alie tangulia mbele za haki na hana cha kufanya kinaonesha upunguani mwingine wa wanao jiita wapinzani.. Tupambane na yaliyopo sasa na Rais aliepo sasa na yanayao endelea sasaMaendeleo gani waliokwamisha sema ata matatu tu mmekaririshwa na yule marehemu kwa siasa zake chafu alafu unakuja kupiga makelele apa
Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
Ungetaja ata maendleo matatu tu ambayo vyama vya upinzani ilifanya wananchi wakakosa maendeleo ingekuwa jambo la maaana sana ila yule asidi mwenye roho mbaya alizuia wananchi wake kupata ajiraa, ili tu kujengaa hii treni isiyo na uelekeo alijaza magereza na kuwapa watu kesi zisizoeleweka ripoti zaidi ya tatu za CAG ndani ya utawala wake zimetaja ubadhirifu mkubwa kuliko ule wa kikwete ila mnavyompambaa kama hiii nchi alikuta tunakula nyasiPunguza uchungu mkuu, tanzania ni yetu sote, hakuna anae taka maumivu na mabaya kwenye nchi yake kama yaliyopo sasa kila kona watu wana nung'unika na kulia, tuwekeze nguvu kata haya ya sasa. Kujadili na kushindana kwa mtu alie tangulia mbele za haki na hana cha kufanya kinaonesha upunguani mwingine wa wanao jiita wapinzani.. Tupambane na yaliyopo sasa na Rais aliepo sasa na yanayao endelea sasa
Ukiwa na akili za hivyo hufai kuwa kiongozi.Ujue ukishakuwa na picha mbaya kwa mtu, kila kitu kwa yule mtu utakiona kibaya huto kaa ukaona zuri hata moja.
Kiongozi wa nchi huwezi toa kauli kama ileKauli ilikuwa na maana zaidi ya ulichosikia. Maana ya JPM ilikuwa ni hii " asingeweza kupeleka maendeleo mahala ambapo, kuna wanao pinga hayo maendeleo kwenda, na wanao pinga maendeleo sio CDM peke yake hata kuna tamaduni na aina za watu zipo kinyume na baadhi ya maendeleo, by default mahala pakishakuwa na ukinzani wewe unapeleka A wao wanataka C ni ngumu kufanyika kitu" ila kauli za kisiaa na wanasiasa wenye ni kauli za fata upepo, zenye viburi kujiinua kila mwana siasa ana mambo yake ya ajabu ambayo ukiangalia kwa mlengo mwingine mtapishana..
Nakubalina na wewe hakupaswa kutoa ile kauli tena hadharani. Yale ni mapungufu ya JPM na kuna boko nyingi tu alitoa, ila inabaki ni mazaifu yake na hata kuna mengine yaliingiza taifa katika sintofahamuKiongozi wa nchi huwezi toa kauli kama ile
hapo tunakubaliana au hatukubaliani?
tuko pamoja mkuuNakubalina na wewe hakupaswa kutoa ile kauli tena hadharani. Yale ni mapungufu ya JPM na kuna boko nyingi tu alitoa, ila inabaki ni mazaifu yake na hata kuna mengine yaliingiza taifa katika sintofahamu