Baba Ndumbwi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 452
- 719
Kwamba serikali haikusanyi kodi kwenye majimbo ya wapinzani?JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Hata mimi ningefanya kama Jiwe. Tena hata miundombinu iliyopo ningeing'oa. Tupo watu vichaa zaidi ya Jiwe na ole wao tupate madaraka ka ya Jiwe waone!!!JPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango
Wapinzani wa hii nchi ni wa ajabu sanaHata mimi ningefanya kama Jiwe. Tena hata miundombinu iliyopo ningeing'oa. Tupo watu vichaa zaidi ya Jiwe na ole wao tupate madaraka ka ya Jiwe waone!!!
Wajinga kabisa! Kila kitu hakuna, hakuna halafu wanavitumia. Wa nini sasa hawa!!Wapinzani wa hii nchi ni wa ajabu sana
Ndiyo uzitaje wewe sasa tusikieVipi kuhusu yule kiwete wenu aliohifadhiwa ubeligiji? Kauli zake za kibwege mbona hujazitaja
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings". Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.Kama unaikumbuka kauli yoyote yenye ukakasi iliyotolewa na kiongozi yeyote duniani naomba tukumbushane, mimi naanza hapa
1: Siwezi kuleta maendeleo hapa mkichagua upinzani-JIWE 2020
2: Kama nchi yangu itaondolewa kushiriki kombe la dunia basi na hilo kombe la dunia lenyewe halitafanyika maana dunia yenyewe haitakuwepo-PUTIN 2022
3:I prefer not to speak,if I speak am in big trouble-JOSE MOURINHO 2020
4:
5:.......
View attachment 2426857
Ww kweli kilaza kwa iyo kupinga kwao ndo maendeleo apeleki inamaana aungwe mkono marekani yenyewe trump anapingwa ndo useme eneo wanalompinga asiwe mambp sawa We huna akili. Mtanzania mmoja ana thamani kuliko viwanda vya vyerehani walivyozinduaga na propagandistJPM angepeleka vipi maendeleo eneo lenye mpinzani ( wapinzani wa tanzani kila kitu wanapinga) maana kungekuwa na lugha gongana. Hii nchi hakuna wanasiasa wenye nia ya dhati ya kile wanacho ongea, wengi wao wana nia zeo za sirini na kufanya siasa ni uwanja wa kufikia ndoto za maisha ya kifahari kupitia huo mlango