Pole MwaipayaJana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa.
Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio mazuri pia
"Watu wengi sana wamekamatwa. Watu wengi sana wametekwa kwa kutumia vifaa vyao wanavyomiliki simu... wakamataji, watekaji na wachoreshaji wanatumia sana mitandao ya simu hususan laini za simu..."
"Mtu huyo huyo akikufuata akisema unafanya kazi nzuri nipatie namba yako ya simu nikupatie pesa ya maji... Brother umeisha? Ishi kwa machale. ipo siku utarelax kwa sasa hivi kaa kwa tahadhari usimpatie namba yako ya simu."
Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya
Matrix19 mtu wa mfumo alituseti ila kulipokuchwa tukagundua ni Askari wa usalama barabarani yani Trafki.
Nimecheka sana,,kwa hiyo machale yake yalilala fofoJana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa.
Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio mazuri pia
"Watu wengi sana wamekamatwa. Watu wengi sana wametekwa kwa kutumia vifaa vyao wanavyomiliki simu... wakamataji, watekaji na wachoreshaji wanatumia sana mitandao ya simu hususan laini za simu..."
"Mtu huyo huyo akikufuata akisema unafanya kazi nzuri nipatie namba yako ya simu nikupatie pesa ya maji... Brother umeisha? Ishi kwa machale. ipo siku utarelax kwa sasa hivi kaa kwa tahadhari usimpatie namba yako ya simu."
Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya
Yaani hata kama wewe upo kwenye hizo ISHu hauwez kumuomba mtu namba ya simu usiyemjua.ni ushamba na ulimbukeni.Sawa mjinga wewe
Unahisi uko salama au siyo njia salama ni kutotumia Internet na simu basi ndiyo maana Osama alikua anawasiliana kwa kutumia barua na Mikanda ya Video nyinyi wanaharakati wa TikTok live πππππYaani hata kama wewe upo kwenye hizo ISHu hauwez kumuomba mtu namba ya simu usiyemjua.ni ushamba na ulimbukeni.
BADO UNAZIDI KUONESHA ULIVYO MPUMBAVU.Unahisi uko salama au siyo njia salama ni kutotumia Internet na simu basi ndiyo maana Osama alikua anawasiliana kwa kutumia barua na Mikanda ya Video nyinyi wanaharakati wa TikTok live πππππ
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Tumkatae Maria Sarungi na Mange kimambi wachoma nchi ya Tanzania wanatuchezesha kimaisha kweli?
Wewe utaishi milele?Utajua ukishakuwa kwenye mikono salama
wapinzani hawakamata ikulu ndo faida na ndo kinachotakiwa , wasiwe wafanya maauzi ya nchi kwa sababu wengi wao ni vibarakaWewe utaishi milele?
Tangu muanze kuwauwa wapinzani mpaka Sasa mmepata nini?