ukiwasilikiliza huko Maria space waosha vyombo huko ulaya yaani ni kuchochea tu wenzao huku wao wakipiga mashifti ya kazi lakini wanataka sisi tushinde barabarani na kuna majinga yanawasikiliza kabisa
 
wapinzani hawakamata ikulu ndo faida na ndo kinachotakiwa , wasiwe wafanya maauzi ya nchi kwa sababu wengi wao ni vibaraka
Ni kweli ccm ina hatimiliki ya Tanzania.
Ila Kuna ulazma wa kuua ili wapinzani wasiingie ikulu?
 
You better watch your Neck young man
Baba yangu kafa ,mama yangu ,babu yangu kafa bibi yangu kafa.
Mimi nani niishi milele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
Sema we jamaa ni mashamba sana.hyo kazi unajitambia nayo huku Mimi niliikataa miaka hyo.na connection ilikuwepo.ACHA USHAMBA
 
Kazi gani
 
kwani huyu kijana katekwa na nani?,serikali ya kenya imesema haina taarifa ya mtu kutekwa,hivyo hii itakua ni senema ya maria sarungi kama director na stering akiwa ni Twaha zebedayo mwaipaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…