Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
- #21
Sema JF 🙌🏻🙌🏻🙌🏻hapana aise mlimtimua huku akaogopa kurudiTapeli wa kitambo hapa JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema JF 🙌🏻🙌🏻🙌🏻hapana aise mlimtimua huku akaogopa kurudiTapeli wa kitambo hapa JF.
Low IQ anayoJamaa ni Genius
Akasema ana project na UN sijui ya kilimo kwa ajili ya kuwainua vijana.Ndio yule alisema akiwa mwaka wa kwanza Alikuwa anaingiza 100m kila mwez kwa kuuza kuku.
Jamaa saiv atakuwa kashakuw tajiri mkubwa sana
Noma sanaWajinga hawaishi
Wajinga ni fursa
LBL & TMT mbona kama somehow related 🤔🤔Jitafutie wajinga upige ela. Kuna wanaopigwa pale kawe daily, kuna siye watanzania wote tunapigwa na rangi ya kijani daily. Kwa hiyo ili ufanikiwe lazima utafute wazembe wako
Sema kuna kipindi Forbes walimpost kwenye Jarida lao.Akasema ana project na UN sijui ya kilimo kwa ajili ya kuwainua vijana.
Haa Tanzania Wajinga Ni Wengi Sana SanaYupo X (twitter) huko anakijiji chake na wafuasi wanaomuabudu.
Yupo mbona(Nje ya mada) Hivi Tajiri la JF kiduku Lilo bado yupo humu 😂, time flies.
Kabla ya lbl ilikiwepo kalynda, now ipo fic ipo gwec wakat lbl inaisha zenyewr zimeingia na hiyo fic naona si tanzania tu iko nchi kibao itasepa na bilions in cryptoLBL & TMT mbona kama somehow related 🤔🤔
Utawapata Wapo MkuuBila wajinga hutoboi na mimi natafta wa kwangu
🥲Aliwaliza au?Usitukumbushe machungu
Mwezio kashatoboa na wewe komaaJe Kuna kitu kime kuinspire kuhusu huyu mwamba ingawa last seen yake ni 2019.
Tujuzane wadau
Forbes africa huwa wanakurupuka ndiyo maana huwa kuna madai kiwa wanalipwa. Hata jokate walishamweka kuwa atakuwa coming milionaireSema kuna kipindi Forbes walimpost kwenye Jarida lao.
Yule mwamba yupo wapi siku hizi au kahamia America
Duh hawa watu wanaoanzisha hizii companies their well skilledKabla ya lbl ilikiwepo kalynda, now ipo fic ipo gwec wakat lbl inaisha zenyewr zimeingia na hiyo fic naona si tanzania tu iko nchi kibao itasepa na bilions in crypto
Yule Jamaa Aliwahenyesha Malofa Ya JF Mpaka MikoaniTapeli wa kitambo hapa JF.
Katoboa kwenye nini au kupigwa na baridi MafingaMwezio kashatoboa na wewe komaa
Shida yenu mnaweza otea Id ila kuotea hata odd mbili za man u hamnaNaona Sirjeff umerudi kwa ID nyingine
Sema kuna kipindi Forbes walimpost kwenye Jarida lao.Akasema ana project na UN sijui ya kilimo kwa ajili ya kuwainua vijana.
IQ ndogo yuleHana uginiasi wowote ni anajifanya mjuaji sana kupita maelezo kumbe mjinga
Kule twitter wakimchallenge anakimbilia kublock watu 😀