Tujikumbushe kuhusu Ontario(Sirjeff Denis)

Kuna muungwana amemuomba 100k akamtumia
Sio mimi.
Na mimi sikumuomba.
Ni miaka mingi imepita hapa jf, nadhani kulikuwa na uzi unasema utaje mtu anayekuvutia, nilimsifia kwamba ana akili na mambo mengine kibao. Akasema nitumie namba yako nikupe zawadi., nilidhani utani nikawa napotezea, baadae nikamtumia akanirushia laki moja. Sikumuomba.
So sidhani kama alimaanisha ni mimi.
 
Duh ila jamaa ni tapeli yule
 
Jamaa is smart and very aggressive akitaka jambo lake,
Ila kuna namna maisha yake binafsi he so empty, he is way too toxic...
Mtu mwenye maisha ya amani na furaha at a personal level hawezi kuna na toxicity kama zake especially ukiwa na pesa....

Wenzie aliotengana nao kiukweli wapo vizuri sana, lifestyle zao scream "we are content and happy"... Clinton, Janeth na Elikana
 
Tupe status za hao uliowataja wakoje kwa sasa tofaut na zile show off za inspirational speakers
 
Back
Top Bottom