Tujikumbushe kuhusu Ontario(Sirjeff Denis)

Duh hawa watu wanaoanzisha hizii companies their well skilled
Kwa tanzania wengi ni wanaijeria na wakenya. Hapana mkuu platform ya lbl haina chochtote cha maana pale hata mtu mwenye basic skills anaweza kuitengeneza. Kuhusu kuweka pesa wanatumia namba za kawaida ili mwekaji aonekane anatuma pesa kama anamtumia mtu na ndo maana wanakuwa na namba nyingi. Wee si ushawahi kusikia wanaija wamekamatwa wakiwa na sim cards kibao, mara nyingi ndo shughuli zake. Zinakuwa linked na server inayosoma sms za miamala
 
SirJeff
Anatumia jina gani??

Ila watengenezaji ni wataalamu wa Computer wapo very skilled
 
Post zake huko X(twitter) balaa tupu. Jamaa ana dharau.
Ila namkubali sana huyu mwamba kabla sijamsoma na mambo yake ya forex niliwahi kumsifia kwenye uzi flani hivi. jamaa akavutiwa na sifa nilizompa alinipa zawadi ya laki moja.
😂😂😂Aliwahi kusema siku moja kwenye space mwaka Jana mwezi wa 8 hivi
 
Post zake huko X(twitter) balaa tupu. Jamaa ana dharau.
Ila namkubali sana huyu mwamba kabla sijamsoma na mambo yake ya forex niliwahi kumsifia kwenye uzi flani hivi. jamaa akavutiwa na sifa nilizompa alinipa zawadi ya laki moja.
Mbali na mapungufu yake ila jamaa ana kitu flan imagine kusepa na Kijiji JF sio kitu kidogo, pia ni mtu aggressive akiamua lake
 
Back
Top Bottom