Tujikumbushe kuhusu Ontario(Sirjeff Denis)

Tupe status za hao uliowataja wakoje kwa sasa tofaut na zile show off za inspirational speakers
Usingetanguliza kuona maisha ya watu kama show off ningekuelezea... ila since unaona wanafanya show off, baki na msimamo wako

Kikubwa show off zao hazikuzuii wewe kuishi maisha yako

Nonsense
 
Jamaa is smart and very aggressive akitaka jambo lake,
Ila kuna namna maisha yake binafsi he so empty, he is way too toxic...
Mtu mwenye maisha ya amani na furaha at a personal level hawezi kuna na toxicity kama zake especially ukiwa na pesa....

Wenzie aliotengana nao kiukweli wapo vizuri sana, lifestyle zao scream "we are content and happy"... Clinton, Janeth na Elikana
Tupe status za hao uliowataja wakoje kwa sasa tofaut na zile show off za inspirational speakers
Usingetanguliza kuona maisha ya watu kama show off ningekuelezea... ila since unaona wanafanya show off, baki na msimamo wako

Kikubwa show off zao hazikuzuii wewe kuishi maisha yako

Nonsense
Punguza hasira Mkuu, jenga hoja. Inspirstional lazima aoneshe vzr pekee kuhamasisha watu wzke. Sasa unajaa gesi nikusaidieje
 
Tupe status za hao uliowataja wakoje kwa sasa tofaut na zile show off za inspirational speakers
Punguza hasira Mkuu, jenga hoja. Inspirstional lazima aoneshe vzr pekee kuhamasisha watu wzke. Sasa unajaa gesi nikusaidieje
Nipe magnesium nijambe iishe
 
Kuna namna his mental health is in shambles
Huyu hapaa 😂😂
75CC5473-C78A-4578-9571-4CA5393EA626.jpeg
 
Mpuuzi tu huyo,,, yupo humu daily kwa Id nyingine,,,, yeye na kina the bold wametapeli sana watu,,, sasa hivi kuna makenge huko X yanamuabudu
 
Back
Top Bottom