Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naumbu,
..wachangiaji wanakumbuka bunge la Spika Pius Msekwa!!
..nasubiri waje wazee wenzangu hapa watukumbushe wakati wa Spika Adam Sapi Mkwawa, na waliomtangulia.
Kiongozi, bila shaka kama sikosei ni ni Siraji Juma Kaboyonga
Jakaya Kikwete
Siraji juma kayabonga
Kiongozi, bila shaka kama sikosei ni ni Siraji Juma Kaboyonga
Kwani mbona ume-copy na ku-paste alichoandika tu?
Fakhrudin Adamjee
Charles Keenja
Lawrence Masha
Anthony Diallo
Batilda Buriani
Gertrude Mongella
Sasa hao ni wa zamani? Hata hivyo wanatajwa majina ili iweje?Jakaya Kikwete,Zito Zuberi Kabwe,Mwakyembe,Mzindakaya,Nundu,Lwakatare,Kiyonzi Mpologomyi,Maokola Majogo,Tundu Lissu,Keenja,Kigoda,Lipumba,Mapuri,Masumbuko Lamwai,Mdee,Mgana Msindai(na ule mwili wake na staili yake ya mavazi)halafu na hawa madaktari wawili wenye jina la kwanza la Hamisi na ya pili ni Kagasheki,na huyu mwingine nawaachia homework ya pkutamka...Kigwangala!
Sasa kama yeye ni wa juzi?wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.
Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.