Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

naumbu,

..wachangiaji wanakumbuka bunge la Spika Pius Msekwa!!

..nasubiri waje wazee wenzangu hapa watukumbushe wakati wa Spika Adam Sapi Mkwawa, na waliomtangulia.

Austin Shaba
Chediel Mgonja
Dr. Sterling
Nachunga (nimesahau jina la kwanza)
Mustafa Nyang'anyi
Dereck Bryceson
Said Maswanya
Alfred Tandau
Nsilo Swai
Lucy Lameck
 
Last edited by a moderator:
Edward Moringe Sokoine
Salim Ahmed Salim. huyu nasikia ndugu zake wengi wamezikwa Arabuni zilikuwa tetesi kipindi alipokuwa anawania nafasi ya Uraisi na mzee FastJet!
Bila kumsahau Marehemu Oscar Kambona,Chifu Abdallah Fundikila

Sina uhakika kama Laurence Gama alishawahi kuwa Mbunge zaidi ya Ukuu wa Mikoa!
 
Tajeni na majimbo yao.

Kwa mfano:
Mh Dr.Jakaya M. Kikwete - Chalinze, Mh. Abbas Mgumba - Kibaha, Mh. Mzee Khalfan - Bagamoyo, Mh. Abbas Gulamali - Kilombero, Mh. Semindu Pawa - Morogoro vijijini (Kusini Mashariki), Mh. Shimim Khan - Morogoro Mjini, Mh. Nicas Mahinda - Mvomera etc.
 
Jakaya Kikwete,Zito Zuberi Kabwe,Mwakyembe,Mzindakaya,Nundu,Lwakatare,Kiyonzi Mpologomyi,Maokola Majogo,Tundu Lissu,Keenja,Kigoda,Lipumba,Mapuri,Masumbuko Lamwai,Mdee,Mgana Msindai(na ule mwili wake na staili yake ya mavazi)halafu na hawa madaktari wawili wenye jina la kwanza la Hamisi na ya pili ni Kagasheki,na huyu mwingine nawaachia homework ya pkutamka...Kigwangala!
Sasa hao ni wa zamani? Hata hivyo wanatajwa majina ili iweje?


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
wewe ndo umeandika wabunge wa zaman,mtu anataja akina Wangwe na Kaboyonga wa juzi tu.

Maalim Nabaan alishafarik huyo mzee alikua anatembea na baskeli licha ya kuwah kuwa mbunge na dc.
Sasa kama yeye ni wa juzi?
 
Silaha Wilberd Silaha! huyu alikuwa mbunge kuanzia 1995 hadi 2010!
 
  • Thanks
Reactions: mij
Mkuu hao walikuwa wanaitwa G55.

Mdhihir Mdhihir
 
Back
Top Bottom