Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
- Thread starter
- #21
Yeah ndio alikuwa anatoka Jamal huko.Shule ya Jabal Hila ilikuwa moto sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ndio alikuwa anatoka Jamal huko.Shule ya Jabal Hila ilikuwa moto sana
Kilosa Boys ya kina Juma Luizio,Mwaikimba,Malima na Mzamiru Yassin ulipata kusikia habari zake ilivyosumbua wilaya ya kilosa na ligi za ndondo Kilosa.Jamal Mnyate tulicheza naye sana. Kuna kipindi alikuwa anasoma Jabal Hila Sekondari. Mvumi naikumbuka sana hiyo.
Sikuwa naifahamu hiyo bro. Ndondo ilikuwa ina wachezaji bora sana kwa kweli.Kilosa Boys ya kina Juma Luizio,Mwaikimba,Malima na Mzamiru Yassin ulipata kusikia habari zake ilivyosumbua wilaya ya kilosa na ligi za ndondo Kilosa.
Mzamiru alimpiga Chenga Maduba wa Orlando siku ya fainali mpaka mkongwe Maduba akakaa chini,Goli ya ushindi ilifungwa na Juma Luizio bonge la shuti nje ya 18 Uwanja wa shule ya msingi Ludewa Batini
Mzee wa Mawe inamaanisha alikuwa anapiga makiki kama mawe. Yeye anakandamiza mawe tu. Kuna mmoja alikuwa anaitwa krosi dongo. Yeye hajui kupiga krosi taratibu ila yeye kila krosi ni dongo tu. Yaani jamaa anakandamiza mawe tu.Kajima Rangers SC Ubungo Riverside miaka 2006.
Captain Salehe Ibrahim Tendega ( Transit Camp 2021-R.I.P) Ndani kulikuwa na vijana wa kipingu wengi mno kama kina Beka, Haruna, Pompi, Lameki mdudu, Yohana Nginja nginja, Mika Mwamba (Mzee wa Mawe).
Akiweka Krosi tukiweka kichwa lazima uugulie.Mzee wa Mawe inamaanisha alikuwa anapiga makiki kama mawe. Yeye anakandamiza mawe tu. Kuna mmoja alikuwa anaitwa krosi dongo. Yeye hajui kupiga krosi taratibu ila yeye kila krosi ni dongo tu. Yaani jamaa anakandamiza mawe tu.
Hahaaaa kuna mmoja tulicheza naye akitokea Town Stars ya Pale Wami Dakawa yeye alikuwa anaitwa Salum "Kona Goli" yeye alikuwa anatumia mguu wa kulia. Kila akienda kupiga kona upande wa Kushoto ujue ni Goli. Mimi nilikuwa napiga free kiki matata sana. Hata ukuta ukae hatua tano au sita nilikuwa nauvusha mpira juu ya ukuta na ni lazima iwepo kunyavu. Huwa naangalia timu zetu zinavyopoteza nafasi za magoli kwa free kiki huwa nawaambia wanangu, ningekuwa mimi hizi nafasi zote ni magoli.Akiweka Krosi tukiweka kichwa lazima uugulie.
Yeah huyo mwamba alikuwa akipokea mpira mita 28 kutoka Goli lilipo kipa akague kasimamia wapi anapiga balaa.
Kwa nini hukuendelea kusukuma gozi la ng'ombe?Hahaaaa kuna mmoja tulicheza naye akitokea Town Stars ya Pale Wami Dakawa yeye alikuwa anaitwa Salum "Kona Goli" yeye alikuwa anatumia mguu wa kulia. Kila akienda kupiga kona upande wa Kushoto ujue ni Goli. Mimi nilikuwa napiga free kiki matata sana. Hata ukuta ukae hatua tano au sita nilikuwa nauvusha mpira juu ya ukuta na ni lazima iwepo kunyavu. Huwa naangalia timu zetu zinavyopoteza nafasi za magoli kwa free kiki huwa nawaambia wanangu, ningekuwa mimi hizi nafasi zote ni magoli.
Majukumu na umri mkuu. Sasa umri umeenda.Kwa nini hukuendelea kusukuma gozi la ng'ombe?
Hahaaaa kuna mmoja tulicheza naye akitokea Town Stars ya Pale Wami Dakawa yeye alikuwa anaitwa Salum "Kona Goli" yeye alikuwa anatumia mguu wa kulia. Kila akienda kupiga kona upande wa Kushoto ujue ni Goli. Mimi nilikuwa napiga free kiki matata sana. Hata ukuta ukae hatua tano au sita nilikuwa nauvusha mpira juu ya ukuta na ni lazima iwepo kunyavu. Huwa naangalia timu zetu zinavyopoteza nafasi za magoli kwa free kiki huwa nawaambia wanangu, ningekuwa mimi hizi nafasi zote ni magoli.
Mkamba Rangers ulipata kuisikia ya Ifakara nadhani Aishi Manula aliwahi cheza kabla ya kuja mjiniSikuwa naifahamu hiyo bro. Ndondo ilikuwa ina wachezaji bora sana kwa kweli.
Huwaga nasikitika sana nikiona Ki, Chama na yule jamaa wa Azam wanapoteza hizo nafasi huwa nasikitika sana.Free kick kama penati.... Ni Moja la eneo langu pendwa hilo la mpira iliyokufa ila Tz masters wa setpiecez wachache mno.
Kagera rangers, faru dume, Sinza stars, Linea Messina, afc leopard, nyarugusu, milambo ya Mburahati, Oman,Kama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na timu za Wilaya nyingine au mikoa mingine pale uwanja wa shujaa Morogoro Mjini.
Timu nyingi zilitoa wachezaji wa iliyokuwa ligi daraja la Kwanza sasa Ligi Kuu mfano Reli, Moro United, Mtibwa Sugar n.k za Moro na nyingine nyingi za nje ya Moro kama Prisons, AFC, Simba na Yanga n.k.
Wachezaji maarufu wa Ndondo ambao binafsi nimewashuhudia na kimsingi walikosa njia nzuri tokana na "Zama za giza tulizokuwa tunacheza na kizazi," ila wangekuwa wachezaji bora nchini na duniani kama wangecheza sasa ni kama wafuatao:
1. David Izengo-Toka timu ya Magereza huyu kwangu mimi ni mchezaji bora kumshuhudia kwa macho yangu nchini sema zama alizokuwa ziliua kipaji chake akaja cheza Prison. Hapa "Triple C" hamfikii.
2. Paul Mokiwa alicheza reli Morogoro na baadaye Prison ambapo alipata majeraha na kuacha kucheza Mpira.
3. Ramadhani Lundenga. Alikuwa ndugu na Hashimu Lundenga na alikuja chezea Yanga B.
4. Abu Ramadhani alikuja chezea Yanga.
5. Salum wa Gheto Boys ya Mvomero
6. Mimi Jimmy Gatete a.k.a mungu ya Magoli toka ghetto boys ya Mvomero.
7. Kipa Maarufu wa Ndondo Yusuph Dezo toka Timu ya Kishingo ya Dakawa pale alikuwa anampiga mikwara Kaseja kuwa yeye Kaseja ni "Tanzania 2" mbele yake naye ni "Tanzania 1" ila mfumo tu umembeba.
Timu maarufu za Ndondo Moro ninazozifahamu na tulizokutana nazo kwenye michuano mbalimbali ni:
1. Jamaica ya Moro Mjini.
2. Young Boys ya Mikese.
3. Jiwe ya Dumila.
4. Ghetto Boys na Asec za Mvomero.
5. Burkina ya Moro Mjini.
6. Kulikuwa na timu moja ya Kihonda waliyokuwa wanachezea akina Ulimboka Mwakingwe, Jumanne Shengo Tondoro na akina Kaseja siikumbuki vizuri.
7. Kulikuwa na timu moja toka turiani iliyokuwa ina wachezaji toka mtibwa kipindi hiko akina Mkangwa, salhina mjengwa, Zuberi Katwila, Mecky n.k
Je, wewe unaikumbuka timu gani maarufu ya ndondo ya mtaani kwenu na wachezaji maarufu waliokuwa wanaichezea?
Nakumbuka Dar walikuwa na Abajalo ya Sinza waliyocheza akina "Kali Mangonga Ongara Mbele kwa Mbele."
Wapiga free kick wazuri Huwa Wana accuracy kubwa za pasi ndefu.Huwaga nasikitika sana nikiona Ki, Chama na yule jamaa wa Azam wanapoteza hizo nafasi huwa nasikitika sana.
David Izengo alikuwa mtu haswaa, mimi binafsi sijaona hadi leo mtu alikuwa na kipaji kama yule jamaa, sema muda haukuwa rafiki kwake na nafikiri akishatangulia mbele ya hakiKama Mada Inavyosema.
Mimi nimekulia Morogoro na nimecheza sana ndondo miaka ya late 1990's na 2000's nikitokea timu ya Ghetto Boys ya Mvomero.
Katika makuzi yetu tulikuwa tunacheza sana ndondo huko Mvomero na Moro kwa Ujumla na katika mashindani ya Kiwilaya na Mkoa tulikuwa tunakutana na timu za Wilaya nyingine au mikoa mingine pale uwanja wa shujaa Morogoro Mjini.
Timu nyingi zilitoa wachezaji wa iliyokuwa ligi daraja la Kwanza sasa Ligi Kuu mfano Reli, Moro United, Mtibwa Sugar n.k za Moro na nyingine nyingi za nje ya Moro kama Prisons, AFC, Simba na Yanga n.k.
Wachezaji maarufu wa Ndondo ambao binafsi nimewashuhudia na kimsingi walikosa njia nzuri tokana na "Zama za giza tulizokuwa tunacheza na kizazi," ila wangekuwa wachezaji bora nchini na duniani kama wangecheza sasa ni kama wafuatao:
1. David Izengo-Toka timu ya Magereza huyu kwangu mimi ni mchezaji bora kumshuhudia kwa macho yangu nchini sema zama alizokuwa ziliua kipaji chake akaja cheza Prison. Hapa "Triple C" hamfikii.
2. Paul Mokiwa alicheza reli Morogoro na baadaye Prison ambapo alipata majeraha na kuacha kucheza Mpira.
3. Ramadhani Lundenga. Alikuwa ndugu na Hashimu Lundenga na alikuja chezea Yanga B.
4. Abu Ramadhani alikuja chezea Yanga.
5. Salum wa Gheto Boys ya Mvomero
6. Mimi Jimmy Gatete a.k.a mungu ya Magoli toka ghetto boys ya Mvomero.
7. Kipa Maarufu wa Ndondo Yusuph Dezo toka Timu ya Kishingo ya Dakawa pale alikuwa anampiga mikwara Kaseja kuwa yeye Kaseja ni "Tanzania 2" mbele yake naye ni "Tanzania 1" ila mfumo tu umembeba.
Timu maarufu za Ndondo Moro ninazozifahamu na tulizokutana nazo kwenye michuano mbalimbali ni:
1. Jamaica ya Moro Mjini.
2. Young Boys ya Mikese.
3. Jiwe ya Dumila.
4. Ghetto Boys na Asec za Mvomero.
5. Burkina ya Moro Mjini.
6. Kulikuwa na timu moja ya Kihonda waliyokuwa wanachezea akina Ulimboka Mwakingwe, Jumanne Shengo Tondoro na akina Kaseja siikumbuki vizuri.
7. Kulikuwa na timu moja toka turiani iliyokuwa ina wachezaji toka mtibwa kipindi hiko akina Mkangwa, salhina mjengwa, Zuberi Katwila, Mecky n.k
Je, wewe unaikumbuka timu gani maarufu ya ndondo ya mtaani kwenu na wachezaji maarufu waliokuwa wanaichezea?
Nakumbuka Dar walikuwa na Abajalo ya Sinza waliyocheza akina "Kali Mangonga Ongara Mbele kwa Mbele."
Hahaaaaa, unawafahamu hao. David kwangu mimi ni mchezaji bora kuwahi kumuona kwa macho yangu nchini Tanzania. Denis alikipigaga Under 18 ya Azam FC.David Izengo alikuwa mtu haswaa, mimi binafsi sijaona hadi leo mtu alikuwa na kipaji kama yule jamaa, sema muda haukuwa rafiki kwake na nafikiri akishatangulia mbele ya haki
Pia ana mdogo wake anaitwa Denis Izengo nae alikuwa moto sanaa, alisomaga Dumila sec
Hawa wote walikuwa na vipaji vikubwa sana aisee, muda ukawakatili
Vp unamkumbuka ombopaa?
Hapana David Hajatangulia bro mbele ya haki bro. Mbona sijasikia hilo na huwa nawasiliana na Denis. Nafahamu aliyetangulia ni mdogo wake alikuwa anaitwa Robert Izengo aliyemfuatia David na wa mwisho ni Denis. Ngoja nimuulizie DenisDavid Izengo alikuwa mtu haswaa, mimi binafsi sijaona hadi leo mtu alikuwa na kipaji kama yule jamaa, sema muda haukuwa rafiki kwake na nafikiri akishatangulia mbele ya haki
Pia ana mdogo wake anaitwa Denis Izengo nae alikuwa moto sanaa, alisomaga Dumila sec
Hawa wote walikuwa na vipaji vikubwa sana aisee, muda ukawakatili
Vp unamkumbuka ombopaa?