Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
- Thread starter
- #41
Ombopa refa maarufu na alikuwa na busha, jamaa wakawa wanamjambisha akichezesha. Sijui jamaa kapotelea wapi. We utakuwa unanijua kama umemjua David na Denis Izengo.David Izengo alikuwa mtu haswaa, mimi binafsi sijaona hadi leo mtu alikuwa na kipaji kama yule jamaa, sema muda haukuwa rafiki kwake na nafikiri akishatangulia mbele ya haki
Pia ana mdogo wake anaitwa Denis Izengo nae alikuwa moto sanaa, alisomaga Dumila sec
Hawa wote walikuwa na vipaji vikubwa sana aisee, muda ukawakatili
Vp unamkumbuka ombopaa?