Tujikumbushe vifo vilivyotokea Morogoro, JB na wenzake walipopigwa risasi na kufa papo hapo

Kwake kitaji jirani na lile bwawa nakumbuka ilikuaga ni njia ya kupita
Pale kitaji kuna tukio liliwahikutokea kulikua na mahakama..mtuhimiwa kaomba apelekwa chooni..alikimbilia kwenye bwawa la kitaji,polisi wakashindwa kuingia ikabidi walizunguke bwawa.jamaa alijificha kwenye magugu akawa ameacha pua tu kwa ajili ya kuvuta hewa...jamaa hawakumpata
 
Kwenye hile mahakama ya mwanzo naijua vizuri
 
JB huyu alikua na matukio kama geresha za kufuga majoka ya viini macho hata mtoto wake baadaye aliendelea kumrithi kwenye mazingaombwe hayo anaitwa Ibrahim yuko Mombasa huko anafanya shughuli za muziki.

Nyumba yake ile bwawa la kitaji sijui kama yakaliwa na watu kwa sasa it has been a long time hili baada ya hili tukio.
 
Kina JB waliuwawa kikatili na huyu jamaa anajiita Sabasita ambae amejichongea jeneza lake..Polisi wanamwaga sana damu za watu wasio na hatia kwa kusingizia kurushiana risasi
 
Hakuna polisi wala jaji wa Tanzania ataoona Ufalme wa Mbingu
 
Ni zaidi ya 10, nadhani ilikuwa 2006 au 2007
 
Bageni ndie aliekutwa na hatia ya kunyongwa mpaka kufa mpaka leo simkumbuki kama alitoka.
 
Ngwizukulu jilala nilikua namsimkia saana na kumsoma enzi hizo nakuwa kwenye magazeti ya maisha
Ebu mkuu tujuze kuhusu kifo chake ilikuwaje?
 
It's sound like old is gold
 
Wako wapi , usikute nao marehemu. Mjinga mmoja anatapatapa Mara achimbe kaburi, juzi kaagiza jeneza full kubabaika na bado shenzy
 
Ewaaa,Ndio alimnunulia Alichoki viatu flan hivi vikapewa jina la alichoki,Vilitoka Italy.RIP JB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…