virgo man
Senior Member
- Feb 7, 2017
- 167
- 424
Pale kitaji kuna tukio liliwahikutokea kulikua na mahakama..mtuhimiwa kaomba apelekwa chooni..alikimbilia kwenye bwawa la kitaji,polisi wakashindwa kuingia ikabidi walizunguke bwawa.jamaa alijificha kwenye magugu akawa ameacha pua tu kwa ajili ya kuvuta hewa...jamaa hawakumpataKwake kitaji jirani na lile bwawa nakumbuka ilikuaga ni njia ya kupita