Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

Umenikumbusha baiskeli ya Phoenix, mzee alikuwa nayo nakumbuka alikuwa hadi anailipia ushuru sh 200 kama sikosei.

Aliinunulia hadi kufuli lile anafunga funguo anakaa nayo. Akukute umechezea au umeharibu 😀
Swala, je?
 
Kinywaji cha Vinto.
Gazeti la Alasiri.
Sabuni ya Codray.
Chupi za VIP.(Taiwani)
Sabuni za AYU.
KUNA kipindi nilikuwa najaribu kuingia kwenye mtandao angalau nitafute picha ya gazeti la Dar leo na alasiri lakini sikufanikiwa, Embu Nipatie ukipata
 
Bastola ya Baruti na Bastola ya Vitunda..
Kama wewe hujachezea hizi basi we sio mjanja..

Binafsi nilikua napenda ile ya vitunda ambayo ina uhalisia yani unatoa magazine na kuijaza vitunda halafu una cock.. Mzuka wake ni nouma


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…