Tujikumbushe vitu na bidhaa mbalimbali za zamani ambazo kwasasa hazipo tena

1. Gardenia soap= sabuni ya kuogea 1970s
2. Trufru syrup = unazimua na maji 1960s
3. Healtho syrup
4. Ribena fruit juice
5. Lucozade= juice ya wagonjwa
6. Flower ghee = mafuta ya kupikia ya kwenye madebe 1950s hadi mwanzoni mwa 1960s
7. Mara ghee = mbadala wa KCC ghee ya kenya
8. Peugeot 304 pick up= gari dume ,1960s
9. VW beetle= gari ya walimu wakuu wa shule za msingi miaka ya 60
10. Majembe ya mkono ya kulimia aina ya Chillington (UK) na ya aina mamba (china)
11. GV paint kwa ajili ya vidonda 1950s
12. MB = sawa na panadol ya sasa miaka. 1950 & 60s
13. Malaraquin = dawa ya malaria hadi 1980s
14. Mepacrin = dawa ya malaria miaka ya 1960s
15. Surf = sabuni ya unga ya kufulia 1960s
16. Lux, imperial na Lifebuoy : sabuni za kuogea miaka hiyo hadi leo
17. Cleartone, Butone, Ambi, Clearasil kwa akina dada wa kileo wa 1980s kurudi nyuma
18. Asepso = sabuni ya kung'arisha uso kwa akina mama wa 1980 kurudi nyumba
19. Double cola = vijana wa 1970s wataikumbuka hii. Ilijaribu kushindana na coca cola na Pepsi cola sokoni lakini ikachemka.
20. Mikate ya Mooljis Bakery Moshi- 1960/70s = hii mikate ilikuwa mitamu na yenye harufu nzuri balaa-hakuna mfanowe duniani
21. Azzaro: Aina mashati iliyotamba sana katikati ya 1970s
22. Savco = jinzi za vijana wa kileo wa 1980s
23. Nacet = wembe wa kunyolea ndevu miaka yetu 1960s
24. Singer na Pfaff vyrehani bora miaka yetu 1960s
 
Dah una kumbukumbu mujarabu. Hiyo #12 MB siyo aina ya panadol, ilikuwa ni antbiotic ni kama Septrine za leo.
 
Nakumbuka miaka ya 70, MTU unakwenda kwa Malaya wa kihaya wale wa vibatari pale ilipo TBS Ubungo kwa Sasa. Unatoa sh 3 mpaka 5 na kupakua mzigo bila kondom na hupati maambukizi yoyote.
Hebu kajaribu huo ujinga Leo pale Mwananyama.
 
Halafu Kenya hawapotezi brand zao kirahisi!
" Cowboy" pamoja na "Blueband" bado zipo sokoni ila wamebadili vifungashio toka vya mabati na kuwa vya plastic.
 
Bro Binzari ipo bado ile unayosikia Royco mchuzi mix ndio binzari yenyewe ial ukienda sokoni utapata binzari kila rangi njano,nyekundu nk inaitwa Curry powder.Vasco Dagama ndio alivifuata India
Ugunduzi wa nchi mpya ( Amerika, Australia na New Zealand), Uvamizi wa Makaburu wa SA toka Holland na makoloni kadhaa wa kadha, chanzo ama chimbuko lake kuu ilikuwa ni kutafuta njia ya ya bahari kufuata biashara ya viungo bara hindi kuwakwepa mabedui.
 
Back
Top Bottom