Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi bidhaa mbili ulizozitaja bado zipo madukani: Onga na baiskeli phoenix.Komoa
aha dawa ya meno
Onga mchuzi mix
Baiskeli ya Phoenix ( Fonex)
Simu za Siemens, HTC, Panasonic
Dah una kumbukumbu mujarabu. Hiyo #12 MB siyo aina ya panadol, ilikuwa ni antbiotic ni kama Septrine za leo.1. Gardenia soap= sabuni ya kuogea 1970s
2. Trufru syrup = unazimua na maji 1960s
3. Healtho syrup
4. Ribena fruit juice
5. Lucozade= juice ya wagonjwa
6. Flower ghee = mafuta ya kupikia ya kwenye madebe 1950s hadi mwanzoni mwa 1960s
7. Mara ghee = mbadala wa KCC ghee ya kenya
8. Peugeot 304 pick up= gari dume ,1960s
9. VW beetle= gari ya walimu wakuu wa shule za msingi miaka ya 60
10. Majembe ya mkono ya kulimia aina ya Chillington (UK) na ya aina mamba (china)
11. GV paint kwa ajili ya vidonda 1950s
12. MB = sawa na panadol ya sasa miaka. 1950 & 60s
13. Malaraquin = dawa ya malaria hadi 1980s
14. Mepacrin = dawa ya malaria miaka ya 1960s
15. Surf = sabuni ya unga ya kufulia 1960s
16. Lux, imperial na Lifebuoy : sabuni za kuogea miaka hiyo hadi leo
17. Cleartone, Butone, Ambi, Clearasil kwa akina dada wa kileo wa 1980s kurudi nyuma
18. Asepso = sabuni ya kung'arisha uso kwa akina mama wa 1980 kurudi nyumba
19. Double cola = vijana wa 1970s wataikumbuka hii. Ilijaribu kushindana na coca cola na Pepsi cola sokoni lakini ikachemka.
20. Mikate ya Mooljis Bakery Moshi- 1960/70s = hii mikate ilikuwa mitamu na yenye harufu nzuri balaa-hakuna mfanowe duniani
21. Azzaro: Aina mashati iliyotamba sana katikati ya 1970s
22. Savco = jinzi za vijana wa kileo wa 1980s
23. Nacet = wembe wa kunyolea ndevu miaka yetu 1960s
24. Singer na Pfaff vyrehani bora miaka yetu 1960s
PATASI, hii ilikuwa ni bandeji nzito inayovutika iliyovaliwa mguuni badala ya kiatu, watumiaji walikuwa askari na wacheza mpira(enzi hizo hakukua na viatu vya kuchezea mpira).PAKASI
Sijui kilikua ni kinini?
Ugoro ni bidhaa bora hiyo mkuu?hii bidha bora ilipigwa marufuku
Juisi ya SOBO(Southern Bottlers) chupa kubwa ipo, hii inatoka Malawi.peni za bic
mashati ya bushoke
Juisi ya sobo ya kuchanganya na maji
viatu vya fokona (four corner)
Halafu Kenya hawapotezi brand zao kirahisi!Kibatari
Zomari (filimbi)
Kibalagala
Atlas
View attachment 2724593
View attachment 2724594
View attachment 2724595
View attachment 2724596
View attachment 2724597
View attachment 2724598
View attachment 2724599
View attachment 2724600
View attachment 2724601
View attachment 2724602
View attachment 2724603
Hata cow boy bado zipo mkuu.Kimbo bado ipo mkuu. Iliyoondoka sokoni ni COW BOY.
Tumbaku yenye kilevi ilipigwa marufuku.kubeli
Inaitwa karabai, bado zipo kwa wavuvi.Chemli ya stove.
Vimto bado ipo, wahindi wanaipenda.Alasiri na Dar Leo
Hivi vyote vipo.-Mtungi wa maji ya kunywa
-Kibuyu cha kuhifadhi maziwa
-Chungu cha kupikia chakula,msosi
wake mtamu sana
Sio workman ni walkman(unatembea nayo), kaseti na cd pleya ndogo.Kumbe hivo vi radio viliitwa workman
Sisi tulikua tukiviita okomani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Umetisha sana mwamba
Kandambili za Bata zipo.Mafuta ya kupaka ASHANTI.
Jeans SAVCO.
raba DH.
Suruali kitambaa MCHELE MCHELE.
Jeans nyeusi za kuweka Rangi za UKILI.
viatu CHACHACHA.
kiatu SAFARI BOOTS.
Kandambili BATA.
PARFUM Yolanda.
Ugunduzi wa nchi mpya ( Amerika, Australia na New Zealand), Uvamizi wa Makaburu wa SA toka Holland na makoloni kadhaa wa kadha, chanzo ama chimbuko lake kuu ilikuwa ni kutafuta njia ya ya bahari kufuata biashara ya viungo bara hindi kuwakwepa mabedui.Bro Binzari ipo bado ile unayosikia Royco mchuzi mix ndio binzari yenyewe ial ukienda sokoni utapata binzari kila rangi njano,nyekundu nk inaitwa Curry powder.Vasco Dagama ndio alivifuata India