Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Tujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka pichaMwarabuuu,Hili Jina nililichukia sana,nikawa nanyoa kipara.sababu y nywele za singa singa.
UshaidiMaiko oweni
UshaidiAkachube Mkristu.......nilikuwa napiga ngumi hatari
Sio mahakamani hapa.......hutaki pita vile.....Ushaidi
Lovelovie SmartTujikumbushe kidogo Wakati unasoma shule ya msingi wanafunzi wenzio walikuwa wanakuita jina gani la utani? na ulikuwa unalipenda au ulipendi