cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shule ya sekondari walikuwa wananiita "mnofu"
Juzi nakutana na classmate mmoja mahali akaniita "mnofu" mbele ya wife nikaishia kucheka tu.
Nilikamatwa nimeiba nyama jikoni na rector siku ya wali nikapelekwa parade nikatangazwa mbele ya kadamnasi sema poa tu kwa sababu ilikiwa boys tupu.
Kipindi hiko nipo form two, haya maisha tunatoka mbali sana[emoji23]