Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Unamkumbuka mwl KIMUNE wewe?
Daah R.I.P
Kimune nlimuwashia Moto Siku moja asbh naingia geti dogo kanizuia na mwenzake kdot com, mbele ya watoto wa o'level nikagoma kupigwa kaona aibu kaniambia niende darasan atanifata, hakuonekana toka hapo aliniogopa
 
Bila shaka ndo Morega wa Mara sec 2005 hiyo
 
Mwalimu CHARLES MALYA almaarufu kama LOBILO…LOBS…A.k.a KICHAKA…

Mwalimu wa MALEZI UMBWE HIGH SCHOOL a.k.a MTI SAFI
Umenikumbusha mbali, mie Nilikuwa Moshi Tech kwa mwalimu Mpande, lakini Lobilo nilimsikia mambo yake huko Umbwe!
Pia Kuna mtoto wa Verani (Tango Transport) Joseph starter (yeye alikuwa mwanafunzi) naye alikuwa maarufu enzi hizo.
 
Nasi wa nyanda za juu kusini miaka hiyo 1999-2003 KIGONSERA SEC SCHOOL kuna mwamba anaitwa SHELIMO huyu alitusumbua Sana n mkuu wa shule aliogopwa had na staff wake

Nasikia alienda PUGU SEC SCHOOL
Alikujaga Pugu, watoto wa mjini wakamnyoosha
 
Mr. Budigila. Headmaster Nyang'hwale sec enzi hizo. Aliogopwa na kila mtu, hadi walimu[emoji28][emoji28]
Budigila alikuwa Nsumba kabla hajaenda huko.Alikuwa anapendankupig balaa.Alikuwa na kabinti kazuri sana.Kijana wake Ray alizama lake Victoria akiwa anaogelea RIP.
 
Mwamfupe a.k.a Unyamaunyama, Mazengo Secondary 1990-2000s
 
Mwl.Pombe

Chato Secondary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…