MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #141
Nimeshawahi kumsikia huyo.Sister Lulu,huyu alikua mkuu wa shule ya Imborru Mbulu huyu alikua ni noma,mm mpaka nikawaga najua ile shule ni yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshawahi kumsikia huyo.Sister Lulu,huyu alikua mkuu wa shule ya Imborru Mbulu huyu alikua ni noma,mm mpaka nikawaga najua ile shule ni yake
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Kanifundisha Swilla sec 2011-2013 tulivyokaribia kufanya necta bado week chache akahamia PandahillKakufundisha pandahill au swilla sec
RIP okonkoMwalimu Chirwa (Okonko) - kibasila sec
Daah! Umenikumbusha mbali sana Mkuu,huyo Mwl.Masatu wa Mkwawa ni alikuwa mbabe kweli kweli , alikuwa Mwalimu wangu wa bweni la Shaban Robert East ,siku 1 usiku saa 7 natoka prepo nilikuwa na kiradio changu kidogo, vile naingi bwenini, nikisikiliza miziki ya juma nature mara pap nasikia Sauti mtu nyuma yangu ananiuliza wewe kwanini unapiga kelele wenzio wamepumzika si nikachukulia ni wanafunzi wananiletea utani, nikamjibu acha ufala. Basi nilikoswa na ngumi kama ya mandonga, Ile kugeuka kweli teacher huyo, nikazama uvunguni mwa kitanda, alipiga mateke mbao za kitanda mpaka saa 8 ila sikutoka. Saa nane na dakika kadhaa nikaibuka kutoka chimbo nikaenda kulala.Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Hahahaha asbh tulikuwa tunaita kombolela kutukimbiza wachelewaji. Mgimwa hakuwa mnoko kivile.Daah! Umenikumbusha mbali sana Mkuu,huyo Mwl.Masatu wa Mkwawa ni alikuwa mbabe kweli kweli , alikuwa Mwalimu wangu wa bweni la Shaban Robert East ,siku 1 usiku saa 7 natoka prepo nilikuwa na kiradio changu kidogo, vile naingi bwenini, nikisikiliza miziki ya juma nature mara pap nasikia Sauti mtu nyuma yangu ananiuliza wewe kwanini unapiga kelele wenzio wamepumzika si nikachukulia ni wanafunzi wananiletea utani, nikamjibu acha ufala. Basi nilikoswa na ngumi kama ya mandonga, Ile kugeuka kweli teacher huyo, nikazama uvunguni mwa kitanda, alipiga mateke mbao za kitanda mpaka saa 8 ila sikutoka. Saa nane na dakika kadhaa nikaibuka kutoka chimbo nikaenda kulala.
Huyu Limbu aliishi nyegez kona?Mwl Limbu aka Kabla ya Kengele, Nsumba Secondary
Huyu alikuwa ni balaa. Zamu yake anakuja saa 11 alafu mnakimbia wote mchakamchaka.
Kabla ya Kengele ya Assemble wote mpo wima tayari. Kengele ikilia hujafika, ni mboko za hatari. Alikuwa hapigi fimbo nyingi, ni tatu. Ila mkono wake sijui upoje. Zinaumq balaa. Bora upigwe tatu tatu na walimu wanne kuliko akupige fimbo tatu yeye mwenyewe.
Ni noma sana yule Mwl..
Extrovert unaonekana umekula chumviMr. PATEL and Mr. Dogo,,, hawa ma Mafia wawili wali run Forest Hill Secondary. Waliowahi kupita pale wanawajua since 1990's
Hahaaa Nyani NgabuNatamani ningesoma bongo landi nami niwandike.. niliposoma ni sio kihiviiii unoko wa fyu..
Ni wa wapNamkumbuka vema kanifundisha Kimune....nilisikia alisharest masikini, apumzike kwa amani
Tate acha mbwembwe. Ntakucharaza bakora.Mwalimu Mpwayungu! Huyu alikuwa anachapa viboko kwa kutumia meno.
😁😁😁 Huyu mwalimu mpande alikuwa mwamba sana. Siku ya kwanza ndio naingia form one alinikurupusha pale Karume House Dorm 33, mpaka nikakimbia mchakamchaka na kandambili. Mzee wa "Ee bwana, unajifanya mjanja, together you stand alone you gooo😁😁😁".Ningeshangaa sana kama usingemtaja Mwalimu Mpande wa Moshi Technical, daah umenikumbusha mbali sana japokuwa umri umeenda sasa ila sitakaa nimsahau huyu mtu. Alikuwa noma sana na usemi wake eenhe bwaana..😄😄, mara ya mwisho nilikutana naye pale Moshi mjini Fresh coach 2018 nikamtupia wekundu kadhaa, alinishape sana kitabia namshukuru kwa kweli may be leo nisingekuwa hivi nilivyo. Live longer Mr. Mpande
Kiaina mkuu,Extrovert unaonekana umekula chumvi
Masatu alinifundisha English one,Mgimwa Geography 2.Mgimwa alikua best sana.Kipindi hicho ni kijana wa miaka 17 hata sijaanza kuchakata mbususu.Umenikumbusha mbali enzi hizo Mkuu ni Mr MbaoNimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Mgimwa kwao Iringa huko,Masatu Musoma.Hakuna ukabila nduguWote uliowaandika ni kutoka kaskazini ukabila huo na ukanda
Ilikuwa ukimzingua mwl.Masatu anakupa makofi ya chapchap hadi uone nyotanyota!Shaban Robert East enzi hizo.Na mwl.Mgimwa katika malezi akiwa na "Miss Tanzania"!😂😂😂😂Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;