SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Marobot yana Kazi sana.Mwl Pombe huyu alipitiliza sio tu shuleni aliigpwa hadi nchini.
La patrie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marobot yana Kazi sana.Mwl Pombe huyu alipitiliza sio tu shuleni aliigpwa hadi nchini.
Mpande kala chumvi hatari. Akisema akusanye chumvi yote aliyokula anaweza fungua duka la jumla la chumvi. 😄Umenikumbusha mbali. Nilikuwa pale 1981 mpaka 1984. Mpande namkumbuka sana kwenye mchakamcha saa 11 asubuhi.
Waalimu wetu wa miaka ile- Michael Malale, headmaster; Kasenge, secondmaster; Isack Malisa, academic master, Nzohi, maths, baadae secondmaster; Bhatia & Mikhailov, Engineering science; Mama Mayasa, chemistry, etc
Huu mwaka ndo Lemutuz anazaliwa. Jomba umetisha sana. Dingi shkamooSir Lighfoot Stonebridge Henry
Tabora Boys mwaka 1962
Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...
Ifunda kulikuwa na mwalimu mmoja ana jina la kichaga.. hakuwa mnoko sana ila ukisema umpe pocket money akuwekee ndo IMEISHA HIYO.Nalimi a.k.a kocha wa Ifunda Tech Sec School
Mwakalindile a.k.a Brigedia Ifunda Tech Sec School
Hawa jamaa, inapokuja wakati wa wao kuwa walimu wa zamu, ni kwamba assembly hakuna kuchelewa..!! Ole wako
Msazengo piaBush moja
Kaishozi alikuwa mbabe sana Dom miaka ya 90Mr. Mkumbata pale City High School
Mr. Kaishozi pale Dom sec
Mwalimu Itambu,Mwenge boys.Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Mtui nilikuta historia yake pale 1996Old moshi Sekondari - Huwezi kuitaja hiyo shule ukamuacha Headmaster aliyejulikana kama - Mtui (Mr)
miaka ya 1990- Alibadilisha Shule ikawa inafaulisha kama special school. Nafikiri yule alikuwa mwanajeshi
Kusimamia nidhamu ya wanafunzi wa kiume zaidi ya 1200 wote wa bweni (o-level & A-level) sio mchezo
Tosa boys, PCB Mzena alikua balaaNimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;