Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Mzee wa vocabulary and grammar [emoji16]
Alikuwa anafundisha Literature 2 basi mashairi magumu ndio anataka tuyashike mazima kama development, building the nation, the Vulture.

Alikuwa anatuambia mashairi ya eat more sio level zetu. Novel alikuwa anaichambua na kututafsiria kama unaangalia movie vile. Ila alitusaidia sana kutushape kitabia na kielimu pia.
 
Mwalimu Masalu, Omukyaya Primary Muleba Kagera. Akikupiga Kofi nyita zinqshuka unazitizama haswaa
 
Nasi wa nyanda za juu kusini miaka hiyo 1999-2003 KIGONSERA SEC SCHOOL kuna mwamba anaitwa SHELIMO huyu alitusumbua Sana n mkuu wa shule aliogopwa had na staff wake

Nasikia alienda PUGU SEC SCHOOL
Shelimo alitukuta Pugu 2007 jamaa alikuwa mpole na msataarabu. Baadae alikuwa Afisa Elimu Temeke
 
Mwalimu Babiligi wa Minziro Missenyi na Bashaka wa Bunazi pia huko huko Missenyi , lakiki huyu Bashaka alikuwa ni katili na mzalilishaji wa utu wa wanafunzi hasa wa kiume ,alikuwa anatoa adhabu ya kuwavuta ma...mbu.
 
Mwalimu Walter jina la utani aliitwa Kimbunga wakati nasoma shule ya sekondari KWIRO huyu mzee alikuwa ni mkorofi haswa bahati mbaya sana nimeajiriwa nikakutana naye tena halmashauri moja huko Singida alipewa cheo cha MTAALUMA wa sekondari aliendelea na tabia ile ile ya kunyanyasa watumishi hasa walimu ,kutokana na tabia mbovu alitimuliwa saizi yupo Singida mjini anatembeza mafaili .
 
Sir Lightfoot Stonebridge Henry

Tabora Boys mwaka 1962

Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...Psychological manipulation!
 
Mwalimu 'Macho kumchuzi' 😁
Alikuwa akikuangalia ni kama alikuwa anaomboleza hivi. Macho yalikuwa yanatokatoka mchuzi!

Mwalimu 'Mabangi' 😁
Alikuwa akikohoa, nikama alikuwa akihitaji mapafu yatoke nje! 😂

Mwalimu 'Kishundu'
Huyu kishundu sasa ndio ilikuwa balaa, sisi tulikuwa tunapenda aandike tu ubaoni tutajisomea wenyewe! 😂

Natunza ID zao, ila kama mmo humu, mnajua kabisa majina yenu. 😁
 
Huyu Kishundu alikuwa wa kike au wa kiume?
 
Mwalimu Walter jina la utani aliitwa Kimbunga wakati nasoma shule ya sekondari KWIRO huyu mzee alikuwa ni mkorofi haswa bahati mbaya sana nimeajiriwa nikakutana naye tena halmashauri moja huko Singida alipewa cheo cha MTAALUMA wa sekondari aliendelea na tabia ile ile ya kunyanyasa watumishi hasa walimu ,kutokana na tabia mbovu alitimuliwa saizi yupo Singida mjini anatembeza mafaili .
Kimbunga'😀, ,mkuu ni mwaka gani umepita Kwiro?
 
Back
Top Bottom