Huyu alikuwaga ana historia ya kuto wahi msamehe mtu.halafu hajawahi cheka piaMwalimu CHARLES MALYA almaarufu kama LOBILO…LOBS…A.k.a KICHAKA…
Mwalimu wa MALEZI UMBWE HIGH SCHOOL a.k.a MTI SAFI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alikuwaga ana historia ya kuto wahi msamehe mtu.halafu hajawahi cheka piaMwalimu CHARLES MALYA almaarufu kama LOBILO…LOBS…A.k.a KICHAKA…
Mwalimu wa MALEZI UMBWE HIGH SCHOOL a.k.a MTI SAFI
Alikuwa anafundisha Literature 2 basi mashairi magumu ndio anataka tuyashike mazima kama development, building the nation, the Vulture.Mzee wa vocabulary and grammar [emoji16]
Shelimo alitukuta Pugu 2007 jamaa alikuwa mpole na msataarabu. Baadae alikuwa Afisa Elimu TemekeNasi wa nyanda za juu kusini miaka hiyo 1999-2003 KIGONSERA SEC SCHOOL kuna mwamba anaitwa SHELIMO huyu alitusumbua Sana n mkuu wa shule aliogopwa had na staff wake
Nasikia alienda PUGU SEC SCHOOL
Huyo ametania wazee, mbona utani wa kawaida tu.mkuu kuna watu wana akili fupi sana, yeye alitaka aandike walimu wa Tz nzima
Huyu Kishundu alikuwa wa kike au wa kiume?Mwalimu 'Macho kumchuzi' 😁
Alikuwa akikuangalia ni kama alikuwa anaomboleza hivi. Macho yalikuwa yanatokatoka mchuzi!
Mwalimu 'Mabangi' 😁
Alikuwa akikohoa, nikama alikuwa akihitaji mapafu yatoke nje! 😂
Mwalimu 'Kishundu'
Huyu kishundu sasa ndio ilikuwa balaa, sisi tulikuwa tunapenda aandike tu ubaoni tutajisomea wenyewe! 😂
Natunza ID zao, ila kama mmo humu, mnajua kabisa majina yenu. 😁
Alikuwa wa kike! 😁Huyu Kishundu alikuwa wa kike au wa kiume?
Kimbunga'😀, ,mkuu ni mwaka gani umepita Kwiro?Mwalimu Walter jina la utani aliitwa Kimbunga wakati nasoma shule ya sekondari KWIRO huyu mzee alikuwa ni mkorofi haswa bahati mbaya sana nimeajiriwa nikakutana naye tena halmashauri moja huko Singida alipewa cheo cha MTAALUMA wa sekondari aliendelea na tabia ile ile ya kunyanyasa watumishi hasa walimu ,kutokana na tabia mbovu alitimuliwa saizi yupo Singida mjini anatembeza mafaili .
Taja hata wa huko bongo heaven! 😁Natamani ningesoma bongo landi nami niwandike.. niliposoma ni sio kihiviiii unoko wa fyu..
Mpumbafu sana huyu jamaa, ashanipigisha tofali 300..alafu na voboko assembleAmbonisye Iyunga Tech we acheni ye hachapi ila utakachokutana nacho akikubamba
Aaah shit. Umeniharibia sikumwalimu marehemu magufuli mwanza somo la kemia