Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,928
- 2,867
Mpande alikuwa balaa usiambiwe na mtu! Pia alikuwa karibu sana na wanafunzi na yeye alikuwa na msemo kuwa hashiki sura za watu Bali anakariri vichogo vya watu!Basi Mpande alikuwa maarufu sana. Nimeona comments nyingi hapa zikimtaja.
Mwaka gani pale o' level or A'levelKiaina mkuu,
Mmmh wewe umesoma mwaka huo Masele akiwa mwanafunzi [emoji1]Sir Lightfoot Stonebridge Henry
Tabora Boys mwaka 1962
Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...Psychological manipulation!
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
Hhhahahaa kweli kweli kweli... hiyo Chief ndo maarufu.Kwa miaka hiyo utakuwa unamzungumzia Losijaki aka Chief.
Pugu Boys Sec. hiyohiyo, 2001, Mwl Mabagala, aisee huyu mwamba alikuwa hatari sana!Dah!! Hata bado sijazaliwa!
Mrs Mkiramweni ali fariki akikuwaga mkuu wa shule korogwe girls ila mumewe alikuwa siyo poa siku ya kula wali nyama alikuwa ana shika zamu[emoji3] baba fimbo zake zinauma yule khaaaMpande alikuwa balaa usiambiwe na mtu! Pia alikuwa karibu sana na wanafunzi na yeye alikuwa na msemo kuwa hashiki sura za watu Bali anakariri vichogo vya watu!
Kulikuwa pia na mwalimu Mkiramweni (baba) Yule ambaye mkewe alikuwa headmistress wa Mawenzi then Kilakala! Huyu jamaa naye alikuwa mnokoo
Du Kumbe Yule mama alishafariki!Mrs Mkiramweni ali fariki akikuwaga mkuu wa shule korogwe girls ila mumewe alikuwa siyo poa siku ya kula wali nyama alikuwa ana shika zamu[emoji3] baba fimbo zake zinauma yule khaaa
Hahaaa Nyani Ngabu
afu anambio kinyama aliwakutukimbiza hadi kule lyandeMan to man Ifunda tech
Inaonesha jinsi watu wa kaskazini walivyo serious na kazi; Ukiwapa mzigo lazima ufikeWote uliowaandika ni kutoka kaskazini ukabila huo na ukanda
Mwalimu Nyange Kolila sec huyu jamaa alijua kiingereza!!!Mwamfupe a.k.a Unyamaunyama, Mazengo Secondary 1990-2000s
Adimeli Yuko wapi siku hiziMwalimu Ndutila Mbalizi Secondary School huyu alikuwa nyoko nyoko ya hatari, na Mwalimu Adimeli mkali wa kiswali shule fulani nimeshau ila bangi alikuwa anavuta huyu mwamba, mwanae kama yupo ataonekana kwenye comment