Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Basi Mpande alikuwa maarufu sana. Nimeona comments nyingi hapa zikimtaja.
Mpande alikuwa balaa usiambiwe na mtu! Pia alikuwa karibu sana na wanafunzi na yeye alikuwa na msemo kuwa hashiki sura za watu Bali anakariri vichogo vya watu!
Kulikuwa pia na mwalimu Mkiramweni (baba) Yule ambaye mkewe alikuwa headmistress wa Mawenzi then Kilakala! Huyu jamaa naye alikuwa mnokoo
 
Sir Lightfoot Stonebridge Henry

Tabora Boys mwaka 1962

Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...Psychological manipulation!
Mmmh wewe umesoma mwaka huo Masele akiwa mwanafunzi [emoji1]

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Kifiasi - kizuka tpdf ticha wa biology sijui kama yupo sikuhizi ila alikua majanga sana na asiependwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngorongoro - mavurunza primary kimara matangini, alikuaga na mwenzie jina limenitoka, matatizo yao ilikua ukichelewa tu
 
Dah!! Hata bado sijazaliwa!
Pugu Boys Sec. hiyohiyo, 2001, Mwl Mabagala, aisee huyu mwamba alikuwa hatari sana!

Wkt wa zamu yake wanafunzi waliufyata mkia. Bilashaka alikuwa anavuta bangi pia. Manake macho yake yalikuwa hayaelewiki kbs.

Kuna siku alinikuta bwenini wkt wa vipindi, alinitoa nduki nilivyomzidi tu mbio akaanza kuropoka, "mtoto, hata ukikimbia huku umeficha sura, mimi nimeshakukariri MATAKO"...[emoji23]

Nilichoka [emoji23][emoji23]
 
Mpande alikuwa balaa usiambiwe na mtu! Pia alikuwa karibu sana na wanafunzi na yeye alikuwa na msemo kuwa hashiki sura za watu Bali anakariri vichogo vya watu!
Kulikuwa pia na mwalimu Mkiramweni (baba) Yule ambaye mkewe alikuwa headmistress wa Mawenzi then Kilakala! Huyu jamaa naye alikuwa mnokoo
Mrs Mkiramweni ali fariki akikuwaga mkuu wa shule korogwe girls ila mumewe alikuwa siyo poa siku ya kula wali nyama alikuwa ana shika zamu[emoji3] baba fimbo zake zinauma yule khaaa
 
Mrs Mkiramweni ali fariki akikuwaga mkuu wa shule korogwe girls ila mumewe alikuwa siyo poa siku ya kula wali nyama alikuwa ana shika zamu[emoji3] baba fimbo zake zinauma yule khaaa
Du Kumbe Yule mama alishafariki!
Mkiramweli baba sijui alikuwaga na shida gani, siku moja alitaka kunichapa kiduanzi duanzi nikakataa. Akanipeleka kwa head master Mr. Isack Malisa, mkuu aliposikia kisa chenyewe akambia nirudi zangu class! Kuanzia hapo jamaa akawa kaninunia, sijui ndo kazira………wala sikujishughulisha naye!
 
jamani sisi walimu wetu walikuwa wanajeshi usiombe ufundishwe na mjeshi utaimba nyimbo za kikwenu
 
Wote uliowaandika ni kutoka kaskazini ukabila huo na ukanda
Inaonesha jinsi watu wa kaskazini walivyo serious na kazi; Ukiwapa mzigo lazima ufike
Hakuna blaa blaa. Hao wengine hawakutokea kwa sababu ya bora liende....
 
pia akumbukwe mwalimu Uhuchu at highlands secondary school iringa .....dah sitomsahau uyu mwalimu sio poa kwa izo bakora zake utaomba pooh
 
Mwalimu Ndutila Mbalizi Secondary School huyu alikuwa nyoko nyoko ya hatari, na Mwalimu Adimeli mkali wa kiswali shule fulani nimeshau ila bangi alikuwa anavuta huyu mwamba, mwanae kama yupo ataonekana kwenye comment
Adimeli Yuko wapi siku hizi
 
Back
Top Bottom