MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
-
- #281
Pole sana mkuu.Wengi hufa vifo vibaya pia km maradhi ya moyo na kisukari au hupitia mateso tu km msongo wa mawazo,
Kuna siku alinifanyia kitu kimoja sisahau maisha yangu yote, ndio maana nasema alale anapostahili
Ngoja tuoneNimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Umeongea vyema Mzee, sijui kama mpwayungu village akifikia umri wako atakua kashabadilika mawazoMkuu Isack Malisa alikuwa mkuu shule gani? Mi nilimkuta Moshi tech. 1981 - 1984. The man was very smart. Nasikia alikuja kumuoa madam Oberlin wa biology. Waalimu wetu Hawa walitu-shape vizuri, Mungu awabariki, awarehemu waliotangulia. Kina Mpande, Nzohi, Kasenge, headmaster Malale etc.
Hahaaà! Na li mwili lake kama bondia. Alishastaafu mwaka juzi nimemkuta shambani anavuna mahindi.ila Mng'ong'o alikwa mbabe hakawii tu kukubeba juujuu tu
Bob hakuwa mnoko, Salema na yule dispine master mrefu mwalimu wa french tulikuwa tunamwita popobawa🔥🔥Pia Same Sec 2000 Bwana Bob
Hatari sana..jamaa alikua mnoko kweli..nakumbuka ule wimbo wa mchakamchaka "man to man man to man....kipara chake kina magamba😅😅...Man to man Ifunda tech. Huyu jamaa alikua mnoko mpaka basi yaani hata kama amevaa suit Kali Yuko radhi alale kwenye tope akikuvizia. Alimkimbiza jamaa Hadi kwenye madimbwi ya maji machafu alipomkamata akawa anampitisha Kila darasa anamtangaza. Kuna kipindi watu walichoka nae wakamuibukia usiku wakachoma nyumba bahati nzuri majirani(walimu wenzake) waliwahi kutoa msaada. Dah yule mkurya ni noma asee ila atatukumbuka sana mm na wanangu (swege na Joshua) kwa matukio tuliyomtendea.
Mwl Kimbi wa Kifaransa anachapa afu ana mamiwani makubwaBob hakuwa mnoko, Salema na yule dispine master mrefu mwalimu wa french tulikuwa tunamwita popobawa[emoji91][emoji91]
Makwaya umemsahau,Nilimuona Iringa 2014.Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Mgimwa ni KusiniWote uliowaandika ni kutoka kaskazini ukabila huo na ukanda
Hahahah na macho yake mekundu, alikuwa hatari sanaMwalimu Katabaro alikuwa shule ya sekondari Swilla mpaka 2013 sasa hivi yupo Pandahili mpaka alikuwa anaitwa "Bwana Pepsi" yaani usithubutu kukutwa.
Adimeli Rungwe hii amestaafu Yuko zake ileje analea wajukuuAdimeli Yuko wapi siku hizi
Malofa tuUmeongea vyema Mzee, sijui kama mpwayungu village akifikia umri wako atakua kashabadilika mawazo
Tcha anajitetea aibu isimkumbe dogo anaonekana alimpania sana ajae kwenye rada zakeHuyu je ? Hii ndiyo dawa ya walimu wa hivyoView attachment 2546614
sahihi alistaafu aliamiaga Rungwe nahisi alistaafia hukoHahaaà! Na li mwili lake kama bondia. Alishastaafu mwaka juzi nimemkuta shambani anavuna mahindi.
Rugalema a.k.a Kitanta - Kahororo sec (Bukoba)
Kiniga - Adolec sec (Karagwe/Kyerwa)
Sozi - Sahare sec (Tanga)
Mhagama - Kilosa sec/Kizu boys (Kilosa)
Mjuni/Israel Mkongo - Tambaza sec (Dar)
R.i.p Mr teti aliyekuwa headmaster tanga tech, it's like 4 days ego,a man passed away!Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Nakumbuka tulimpasuaga 2012 kwa miyeyusho yake.. palepale kwake akakimbia..Ambonisye Iyunga Tech we acheni ye hachapi ila utakachokutana nacho akikubamba
Mjuni Tambaza high