Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Wengi hufa vifo vibaya pia km maradhi ya moyo na kisukari au hupitia mateso tu km msongo wa mawazo,

Kuna siku alinifanyia kitu kimoja sisahau maisha yangu yote, ndio maana nasema alale anapostahili
Pole sana mkuu.
 
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;

1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Ngoja tuone
 
Mkuu Isack Malisa alikuwa mkuu shule gani? Mi nilimkuta Moshi tech. 1981 - 1984. The man was very smart. Nasikia alikuja kumuoa madam Oberlin wa biology. Waalimu wetu Hawa walitu-shape vizuri, Mungu awabariki, awarehemu waliotangulia. Kina Mpande, Nzohi, Kasenge, headmaster Malale etc.
Umeongea vyema Mzee, sijui kama mpwayungu village akifikia umri wako atakua kashabadilika mawazo
 
Man to man Ifunda tech. Huyu jamaa alikua mnoko mpaka basi yaani hata kama amevaa suit Kali Yuko radhi alale kwenye tope akikuvizia. Alimkimbiza jamaa Hadi kwenye madimbwi ya maji machafu alipomkamata akawa anampitisha Kila darasa anamtangaza. Kuna kipindi watu walichoka nae wakamuibukia usiku wakachoma nyumba bahati nzuri majirani(walimu wenzake) waliwahi kutoa msaada. Dah yule mkurya ni noma asee ila atatukumbuka sana mm na wanangu (swege na Joshua) kwa matukio tuliyomtendea.
Hatari sana..jamaa alikua mnoko kweli..nakumbuka ule wimbo wa mchakamchaka "man to man man to man....kipara chake kina magamba😅😅...

Na Brother Lyimo (RIP) Majengo Sec jaman..that man duh! alikua anainyoosha shule si kidogo.
 
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;

1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Makwaya umemsahau,Nilimuona Iringa 2014.
 
Mwalimu Katabaro alikuwa shule ya sekondari Swilla mpaka 2013 sasa hivi yupo Pandahili mpaka alikuwa anaitwa "Bwana Pepsi" yaani usithubutu kukutwa.
Hahahah na macho yake mekundu, alikuwa hatari sana
 
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;

1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
R.i.p Mr teti aliyekuwa headmaster tanga tech, it's like 4 days ego,a man passed away!
 
Back
Top Bottom