Azniv Protingas
JF-Expert Member
- Oct 29, 2020
- 335
- 554
Kumbe mjuni wa kitambo, mm nmemaliza juzi tu lkn bado yupo. Ulimaliza mwaka ganiMjuni Tambaza high
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe mjuni wa kitambo, mm nmemaliza juzi tu lkn bado yupo. Ulimaliza mwaka ganiMjuni Tambaza high
2013, ni wa muda sana atakua kaanza kuzeeka sasaKumbe mjuni wa kitambo, mm nmemaliza juzi tu lkn bado yupo. Ulimaliza mwaka gani
Miraji alifariki mwaka gan jaman@ makongo kipingu hakuwa mkali kuna afande alikuwa anaitwa miraji(rip) na babu chacha hao walikuwa ni hatari sana…miraji form 1 siku ya kwanza alisema wanaume wote ambao hawajatahiriwa atawatahiri kilazima[emoji23][emoji23] na ikifika muda wa assemble mpaka mtu unachanganyikiwa
Dahh, mkuu mwk 62 uko sec. Heshima yako mzee wngSir Lightfoot Stonebridge Henry
Tabora Boys mwaka 1962
Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...Psychological manipulation!
Miraji alifariki mwaka gan jaman
Nashangaa kelele zote za hapo mjini mwanafunzi anaelewaje darasan...hyo shule wameiweka location sio kabisaMama Ruhumbika, H/mistress Pamba sec.... Mwanza
Shikamoo mama, hadi unaogopa kukutanisha nae macho.
Asante ndugu yanguDahh, mkuu mwk 62 uko sec. Heshima yako mzee wng
Yupo Kilolo Iringa huyo mzee Majwaya. Nilishakutana naye huko.Makwaya umemsahau,Nilimuona Iringa 2014.
Nilijua lazima jina hili liwepo. Alikuwa mnoko sana.Galanos Galaxy Msocha na mchaka mchaka yule Mzee alikuwa akinifatilia Sana kidogo nimpe za uso,
Mji ndio unakua wanafunzi tukafikiwa....Nashangaa kelele zote za hapo mjini mwanafunzi anaelewaje darasan...hyo shule wameiweka location sio kabisa
Apumzike Kwa aman.Alikua anachapa mno alafu hachagui pakuchapaLong time sana alipata ajali ya gari tanga