Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule zingine

Namkumbuka second master wangu aka Beduii... R. I. P..
 
Mwalimu Kashasha, alikua balaa sana enzi zake anakuchapa na maneno tu ya uongo na unakaa.
 
@ makongo kipingu hakuwa mkali kuna afande alikuwa anaitwa miraji(rip) na babu chacha hao walikuwa ni hatari sana…miraji form 1 siku ya kwanza alisema wanaume wote ambao hawajatahiriwa atawatahiri kilazima[emoji23][emoji23] na ikifika muda wa assemble mpaka mtu unachanganyikiwa
 
Kihonda sec. Morogoro kulikua kuna mwamba mmoja wa kuitwa Mwl. Amri, balaa lake lilikua zito aisee sitakuja kumsahau
 
Miraji alifariki mwaka gan jaman
 
Dahh, mkuu mwk 62 uko sec. Heshima yako mzee wng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…