Mkama sharp alikuwa police bongo alikuwa akikukamata anakupa pingu uvae mwenyewe na utaangulie kituoni atakukutaMkama popote ulipo, enzi hizo Nganza sec. Wewe kaka(by then)Fimbo zake zilikua zinauma jamani.
Ndiyo sis. 1962 tunapiga High School Tabora Boys. Shule la wana. We nadhani hata wazazi wako walikuwa bado hawajulikani walikokuwa 😁Kaka kaka...1962????????
Shikamoo Mzee!Sir Lightfoot Stonebridge Henry
Tabora Boys mwaka 1962
Huyu mwamba ilikuwa ukifanya kosa anakupa wosia mpaka analia yaani. Tulikuwa tunaogopa kumuudhi kwa jinsi alivyokuwa anasikitika. Anakufanya ujifeel guilty na kuwa na sympathy. Ndivyo alivyofanikiwa kubadili maisha ya baadhi yetu...Psychological manipulation!
Loh! Yule Mtemi aliyedata?Nalimi a.k.a kocha wa Ifunda Tech Sec School
Nikajua ni mwanajf mwenzetu Don Kisando
Marahaba kijana. Ukitaka mawili matatu kuhusu hili laifu usisite kutuona sisi wazee!Shikamoo Mzee!
Hapo alikua ameshastaafuHuyo Kaishozi nilimkuta Nkuhungu Sec kipindi nafanya Research.
Umeuliza swali la kipumbavu sana.Ngoja kwanza utuweke sawa shule zote hizo ulizotaja ulisoma?
Umeambiwa au unatupanga ili na sisi tupite humo humo😂
Ulisoma na Fadhili Kiholi?Mkwawa 2003-2005
MchopaNimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Gunda mimi alikua kama FAZA na ndio sababu madoshi alikua akinichukia kwa wivu.K
Kuna ndugu yangu alisoma hiyo shule na yeye walimla kichwa kisa mapenzi. .Gunda alikuwa na mtoto wa kike mkali kinyama ila wenge.
Na ishauzwa Gunda kajenga nyingine Singida hukoo.Gunda mimi alikua kama FAZA na ndio sababu madoshi alikua akinichukia kwa wivu.
ni shule ya Kwanza kusoma ina ma HEAD MASTER wawili.
Madoshi hataki umuite Second Master, Gunda is well known ndio HEAD MASTER.
Jichanganye nenda ofisini muulizie SECOND MASTER halafu akuskie,ukiingia ofisini hakusikilizi shida yako anakufukuza.
Ile shule walichanga Mtaji nadhani GUNDA na MADOSHI wakafungua shule sasa wote wanataka wawe ma HEAD.
Moja ya shule yenye sheria ngumu kuwahi kusoma ni ile.
Sket za wadada wa ile shule ni kama lile pazia la mashine na sharti zifunike kiatu sio eti sket iwe chini ya Magoti.
ile shule wadada sket zao shart kiatu kisionekane.
Madoshi akikutana na wewe (mdada) anakwambia SIMAMA anaangalia viatu akiona anaona viatu Balaa unalo. Hajui kupiga ni anadunda.
shule ambayo mpka naondoka sijawahi jua mdada yupi ana tako yupi hana, tunapendeana SURA tu.
kuuziana mbuzi kwenye gunia live live yani.
Umeuliza swali la kipumbavu sana.
Kama hujalielewa ni mpumbavu zaidi yanguUmeuliza swali la kipumbavu sana.
Wote walikua wameshazaliwa...baba yuko na mishe mishe tayari.....ila mm ndo nilikua hata kwny wazo la kuwa nitakuja duniani halikuwepo...mama alikua binti mdogo...Ndiyo sis. 1962 tunapiga High School Tabora Boys. Shule la wana. We nadhani hata wazazi wako walikuwa bado hawajulikani walikokuwa 😁
Sawa kabisa. Wakati huo hata bush standard ambayo sasa wanaiita pre-standard one sijaanza. Hongera Sana.Marahaba kijana. Ukitaka mawili matatu kuhusu hili laifu usisite kutuona sisi wazee!