K
Kuna ndugu yangu alisoma hiyo shule na yeye walimla kichwa kisa mapenzi. .Gunda alikuwa na mtoto wa kike mkali kinyama ila wenge.
Gunda mimi alikua kama FAZA na ndio sababu madoshi alikua akinichukia kwa wivu.
ni shule ya Kwanza kusoma ina ma HEAD MASTER wawili.
Madoshi hataki umuite Second Master, Gunda is well known ndio HEAD MASTER.
Jichanganye nenda ofisini muulizie SECOND MASTER halafu akuskie,ukiingia ofisini hakusikilizi shida yako anakufukuza.
Ile shule walichanga Mtaji nadhani GUNDA na MADOSHI wakafungua shule sasa wote wanataka wawe ma HEAD.
Moja ya shule yenye sheria ngumu kuwahi kusoma ni ile.
Sket za wadada wa ile shule ni kama lile pazia la mashine na sharti zifunike kiatu sio eti sket iwe chini ya Magoti.
ile shule wadada sket zao shart kiatu kisionekane.
Madoshi akikutana na wewe (mdada) anakwambia SIMAMA anaangalia viatu akiona anaona viatu Balaa unalo. Hajui kupiga ni anadunda.
shule ambayo mpka naondoka sijawahi jua mdada yupi ana tako yupi hana, tunapendeana SURA tu.
kuuziana mbuzi kwenye gunia live live yani.