Chakula Kibaya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 689
- 1,562
Huyu alikuwepo mwaka gani mkuu!!??Chekanaye, mwenge sec.school, singida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alikuwepo mwaka gani mkuu!!??Chekanaye, mwenge sec.school, singida
Duuuh[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]1977
Pugu mwaka gani mkuuMabagala Pugu secondary hiyo
Afu kuna mwehu alikuwa anaitwa Nampanda ana maneno balaa mswahili sana
Mpande wa Moshi Tech. Ameshafariki. RiP. Alikua mwl. Mzuri sana wa michezo na aliipenda kazi yake ya ualimu na michezoNimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari Karatu, Arusha.
2. Mwalimu Shayo - Shule ya Sekondari Arusha.
3. Mwalimu wa malezi Ilboru sec, jina limenitoka ila ana jina la kimasai. Waliosoma 1998 - 2001 wanaweza kumkumbuka.
4. Mwalimu Teti - Tanga technical Secondary school. Huyu mkuu wa shule ilikuwa sio poa...
5. Mwalimu Mpande - Moshi Technical Secondary School. Huyu mwalimu kwenye umisetta alikuwa tishio. Ukileta zako ni kibano unakula.
6. Munga - Kaloleni sec, Arusha.
7. Kipingu -
8. Mwalimu Masatu na Mgimwa - Mkwawa High School (complex)
Ongezeeni majina mengine tujikumbushe enzi za u-teenage.
Kafariki lini aisee?Moande wa Moshi Tech. Ameshafariki. RiP. Alikua mwl. Mzuri sana wa michezo na aliipenda kazi yake ya ualimu na michezo
Like 4yrs agoKafariki lini aisee?
Nimesikitika sana. Ila Mwalimu Mpande nae umri ulikuwa umeenda ni vile mazoezi yalikuwa yanamweka fit. Mwaka 2002 alisema ana miaka 60.Like 4yrs ago
Sidhani labda Kama unamaanisha 2012,maana mi nilikuwa pale 2009 alikuwa bado hajastaafuNimesikitika sana. Ila Mwalimu Mpande nae umri ulikuwa umeenda ni vile mazoezi yalikuwa yanamweka fit. Mwaka 2002 alisema ana miaka 60.
Duh, was looking very young.. alituchangamsha sana hasa kutuamsha asubuhi kukimbia mchakamchaka. Kupitia Dom 1 hadi Dom 40 sio mchezo. we umemaliza pale mwaka ganiNimesikitika sana. Ila Mwalimu Mpande nae umri ulikuwa umeenda ni vile mazoezi yalikuwa yanamweka fit. Mwaka 2002 alisema ana miaka 60.
Sir NdileMwl mwakalindile Iyunga technical
R. I. P MabagalaPugu Boys Sec. hiyohiyo, 2001, Mwl Mabagala, aisee huyu mwamba alikuwa hatari sana!
Wkt wa zamu yake wanafunzi waliufyata mkia. Bilashaka alikuwa anavuta bangi pia. Manake macho yake yalikuwa hayaelewiki kbs.
Kuna siku alinikuta bwenini wkt wa vipindi, alinitoa nduki nilivyomzidi tu mbio akaanza kuropoka, "mtoto, hata ukikimbia huku umeficha sura, mimi nimeshakukariri MATAKO"...[emoji23]
Nilichoka [emoji23][emoji23]
2002Duh, was looking very young.. alituchangamsha sana hasa kutuamsha asubuhi kukimbia mchakamchaka. Kupitia Dom 1 hadi Dom 40 sio mchezo. we umemaliza pale mwaka gani