Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

Tujikumbushe: Waziri Magufuli alipotoa waraka wa mafanikio ya Rais Kikwete kwenye mambo ya ujenzi kuanzia mwaka 2005 hadi 2015

Takwimu hizo zinaonesha kuwa Mheshimiwa Kikwete kwa miaka 10 alijenga KM 5568 za barabara kwa kiwango cha lami. Yeye Mheshimiwa Rais Magufuli katika kipindi cha miaka 5 tu tayari amekamilisha kujenga KM 3500 za barabara na KM zingine 2500 ujenzi wake unaendelea. Zote ni kwa kiwango cha lami.

Hivyo utaona kuwa Rais Magufuli amejenga barabara mara mbili zaidi ya zile zilizojengwa na Mhe Kikwete. Mpe kura yako Oktoba 28 aendelee kufanya maajabu katika ujenzi wa barabara nchini.
Zipi hizo alizojenga huyu
 
Ofcourse JK alipiga kazi kubwa sana, cha ajabu Kazi nyingine za JK eti credit anapewa Magufuli! - Ajabu sana hii
 
Back
Top Bottom