Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Aliyejenga flyover ni nani ?With all due respect mkuu, mradi wa Fly over Mfugale ulibuniwa wakati wa Kikwete.
Hata Ubungo Fly over vile vile.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyejenga flyover ni nani ?With all due respect mkuu, mradi wa Fly over Mfugale ulibuniwa wakati wa Kikwete.
Hata Ubungo Fly over vile vile.
MkandarasiAliyejenga flyover ni nani ?
Zipi hizo alizojenga huyuTakwimu hizo zinaonesha kuwa Mheshimiwa Kikwete kwa miaka 10 alijenga KM 5568 za barabara kwa kiwango cha lami. Yeye Mheshimiwa Rais Magufuli katika kipindi cha miaka 5 tu tayari amekamilisha kujenga KM 3500 za barabara na KM zingine 2500 ujenzi wake unaendelea. Zote ni kwa kiwango cha lami.
Hivyo utaona kuwa Rais Magufuli amejenga barabara mara mbili zaidi ya zile zilizojengwa na Mhe Kikwete. Mpe kura yako Oktoba 28 aendelee kufanya maajabu katika ujenzi wa barabara nchini.
Nchi hii ilichezewa na chama gani mpk Leo tumefunga wangapi kwa ufisadi.Kikwete alijenga Flyover ngapi ? Alinunua ndege ngapi ? Hii nchi ilichezewa sana ...
karibu sanaAhsante kwa taarifa...