Piko AMEFARIK lini..1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.
2: Picko - Kikongwe (RIP)
3: JI -Kidato kimoja
4: Top C -Lofa
5: C-sir madini - Kifungo huru
Tukumbushane nyingine
Biti Kali sanaaaUsiulize - Rado.
Naomba ugoro kidogo mzee mwenzangu.Nipo kilabuni hapa napata njimbo.Nipigie kwenye simu ya shemeji yangu ataniita nipokee.kweli nimezeeekaš
Ksal ft. Feruzi - MkiwaTukumbushane nyingine
Unatumia upi ule ambao unamix na supaglu?Naomba ugoro kidogo mzee mwenzangu.Nipo kilabuni hapa napata njimbo.Nipigie kwenye simu ya shemeji yangu ataniita nipokee.