Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.

2: Picko - Kikongwe (RIP)

3: JI -Kidato kimoja

4: Top C -Lofa

5: C-sir madini - Kifungo huru

Tukumbushane nyingine
Blad Key Vitu vimepanda bei

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1.JOHN MJEMA - Wachumba 30
2.FATHER G - Binti Mlokole
3.SOGY DOG - Kibanda cha Simu
4.BESTA feat DULLY - Kama ulivyo
5.BABLEE - Kizizi
6.PLANET 2000 - Bab Kubwa
7.UNIVERSITY CORNER (U.V.C) - T-shirt na Jeans
8.JOHN WALKER & RAS LION - Bitozi
9.MAD ICE - Baby Girl
10.MAC DIZZO - Sugar Mamy


Vipi,niendelee au inatosha?
 
Nakumbuka enzi zetu kuna msanii alitoa wimbo mkali sana ila Carl Peters akapiga fitina usipigwe kabisa baada ya yule msanii kumsanua babu yake kuhusu mkataba wa kilaghai aliokuwa asaini ili shamba lake achukue Carl Peters. Lilikuwa bifu kubwa sana.
 
Back
Top Bottom