Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Kuna yule mwamba aliyeimba SINA DEMU,,,, Yule jamaa asilimia 99.99 ya mashabiki wanaifahamu tu ngoma lakini sura yake na jina lake imebaki kuwa siri yake...
B.boy ana ngoma nyingine inaitwa Sio wangu yupo na Hardware.
 
Hapa Sos B umemuweka na watu wasio wake..... Muweke na Kina Sugu Mikononi mwa Polisi, Muweke na Kina Diplomatz

Top C na Ulofa wake si 2007 huko kama sio na 06,JI na kidato chake kimoja majuzi tu.... hapo hata vitoto vya Afu mbili vinaujua.
Mkuu soma kwanza uzi unahusu nini sugu ana ngoma nyingi tu zilizohit kwa kipindi hicho.

Pia umechanganya mambo J,I kidato kimoja imetoka mwaka 2006 wakati nyimbo ya Top c- lofa imetoka 2011 kipindi cha sharobaro records ya bob junior, msimu ambao sharo millionea alikuwa anamla shilole
 
Uzi upo page 3 lakini sijaziona bado

•Kamanda
•Barua
by Daz Nundaz
Uzi unahusu wasanii waliohit na nyimbo moja tu 'one hit wonder'.

Daz Nundaz wanangoma kali kibao Barua, kamanda, nipe tano, maji ya shingo, jahazi nk. Pia ukiwatoa kama kundi bado baadhi ya wasanii kutoka daz Nundaz wanahit kibao wakiwa solo mfano Daz Baba na Feruz
 
Nyasi - Mawazo....

Jaribu kumbuka usije niacha na mawazo eyaa..

Kuumbukaaa mawaaazooo ooo kumbuka mawazo ooo...

Dah long time...
 
Hii ngoma ina michano iliyomlenga Fid Q wengi hawajuagi... Yaani ni simple disstrack ya Rado kwa Fid Q..!!
Ukisema wengi hawajuagi sio kweli.

Mbona michano ile ipo wazi kabisa kuwa imemlenga kubanda.
 
Back
Top Bottom