Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

1.JOHN MJEMA - Wachumba 30
2.FATHER G - Binti Mlokole
3.SOGY DOG - Kibanda cha Simu
4.BESTA feat DULLY - Kama ulivyo
5.BABLEE - Kizizi
6.PLANET 2000 - Bab Kubwa
7.UNIVERSITY CORNER (U.V.C) - T-shirt na Jeans
8.JOHN WALKER & RAS LION - Bitozi
9.MAD ICE - Baby Girl
10.MAC DIZZO - Sugar Mamy


Vipi,niendelee au inatosha?
Unaelewa kinachozungumzwa au unadandia tu? Soggy Doggy na Mad Ice ni one hit wonders?
 
Mkuu soma kwanza uzi unahusu nini sugu ana ngoma nyingi tu zilizohit kwa kipindi hicho.

Pia umechanganya mambo J,I kidato kimoja imetoka mwaka 2006 wakati nyimbo ya Top c- lofa imetoka 2011 kipindi cha sharobaro records ya bob junior, msimu ambao sharo millionea alikuwa anamla shilole
Yani wabongo wagumu kuelewa
 
Back
Top Bottom