HAO wanaitwa Sold Group FamilyMechi Kali kati ya uhai na kifo sijui aliimba nani
Blad Key Vitu vimepanda bei1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.
2: Picko - Kikongwe (RIP)
3: JI -Kidato kimoja
4: Top C -Lofa
5: C-sir madini - Kifungo huru
Tukumbushane nyingine
Video ya hii ngoma ilikuw kali sana.. creativity.. sijapata AUDIO yenye HQ mpk sasa..Enika - Baridi
Solid Ground FamilyMechi Kali kati ya uhai na kifo sijui aliimba nani
Picco ft ShozdearPicco kama lini?
Picco alikuwa na nyimbo zaidi ya moja zilizohit