Tujikumbushie One hit wonders wa Bongo

Kiitikio walimshirikisha Mangustino. Moja ya Tungo kali sana.
Yes yes. Pia kama unakumbuka hii nyimbo iligombaniwa na makundi mawili. Watengwa na Waswahili. Ilileta bifu sana kati ya makundi haya mawili. Maskani yao ilikua Msasani....

Old skul.
 
Unaelewa kinachozungumzwa au unadandia tu? Soggy Doggy na Mad Ice ni one hit wonders?
 
Yani wabongo wagumu kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…