Tujuane mashabiki wa Simba na Yanga wa humu Jamiiforums

Elewa point basi sio unadandia vitu nimekuambia timu kubwa we unaleta habari za uganga inaonekana we mshirikina kichwa kimejaaa stori za waganga tu
ushawahi ona timu ya mtu mmoja?? Kwahiyo hata waganga wakiwa zaidi ya mmoja ni timu pia....itaitwa timu ya waganga...kama vile simba
 
Dada wa Timu kubwa Africa Mashariki na kati. SIMBA Jasho na Damu
 
Yanga[emoji169][emoji172][emoji169][emoji617][emoji172][emoji123]
 
Mimi ni mwananchi, najivunia kuwa mwananchi πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…